Zee la Nyeti JF-Expert Member Aug 5, 2014 697 460 Jul 14, 2016 #2 Tena usiombe ukutane na panya road hao hawabakish wanatafuna had zipu kudadadeki! ni zaidi ya panya buku!
Tena usiombe ukutane na panya road hao hawabakish wanatafuna had zipu kudadadeki! ni zaidi ya panya buku!
mkonongo1938 JF-Expert Member Jan 22, 2016 1,990 2,397 Jul 14, 2016 #5 Mtu bilionea harafu unavaa masambi sambi kweli hekima imefichwa!
screpa JF-Expert Member Sep 10, 2015 10,829 15,791 Jul 14, 2016 Thread starter #6 KENZY said: hiyo inaitwa "panya fashion" Click to expand... Nimeipenda
screpa JF-Expert Member Sep 10, 2015 10,829 15,791 Jul 14, 2016 Thread starter #7 mkonongo1938 said: Mtu bilionea harafu unavaa masambi sambi kweli hekima imefichwa! Click to expand... Faashoooni
mkonongo1938 said: Mtu bilionea harafu unavaa masambi sambi kweli hekima imefichwa! Click to expand... Faashoooni
P Percival JF-Expert Member Mar 23, 2010 3,507 2,417 Jul 14, 2016 #9 werevu ukipindukia mpaka unakuwa ujuha
Dream Queen JF-Expert Member Nov 4, 2015 8,263 18,174 Jul 14, 2016 #11 Hizi fashion sasa kiboko....mh!
B Bin Hammet New Member Jul 10, 2016 3 1 Jul 14, 2016 #12 Maskini akivaa hivi watu watamdhania mwehu na kwa huyu bilionea itakuwaje?
vollies JF-Expert Member May 31, 2015 748 446 Jul 14, 2016 #13 Jamani tumekwisha role model wetu anatupa ujumbe gani sasa
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,197 128,128 Jul 14, 2016 #14 Kuna jamaa humu ameshangaa eti kwanini Diamond anaingiza pesa nyingi sana alafu anaishiwa nguo kiasi hiki?
Kuna jamaa humu ameshangaa eti kwanini Diamond anaingiza pesa nyingi sana alafu anaishiwa nguo kiasi hiki?