panya na nyoka

panya na nyoka

Jeji

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
1,973
Reaction score
372
panya alimkanyaga nyoka, mazungumzo yakawa hivii,
nyoka: dogo vipi mbona unanikanyaga?
panya: sorry brother bahati mbaya,
nyoka: lione toto dogo madevu kibao,
panya: ahh! mambo gani we kubwa zima lakini linatambaa.
 
duh, sasa hapo dogo akawa ni Nyoka na Blaza (brother) akawa Panya so alistahili kumkanyaga? hahahahahaaaaaaa, ndevu urembo.............
 
Eheheheeee ivi panya ana ndevu au sharubu? Na nyoka anatambaa au anasota? 2saidiane mie cjui vema
 
Back
Top Bottom