HNIC
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 1,898
- 2,195
Kwenye kashfa ya Dangote Taifa hili Tukufu liliambiwa na mawaziri waandamizi wa serikali hii (Charles Mwijage na Sospeter Muhongo) kuwa mwekezaji Dangote anataka gesi ya BURE
Kisha mawaziri hao hao wakasema kuwa Dangote anataka gesi lakini hawajakubaliana bei
Kisha mawaziri hao hao wakasema kuwa Dangote ni mwekezaji ambaye mbabaishaji na anaburuzwa na wapiga dili
Lakini cha ajabu hawajasema hizo $3 zaidi ambazo Dangote anatakiwa kulipa kwa ajili ya gesi ni za nani na zinaenda wapi na matumizi yake yakoje na yaliidhinishwa na nani
Kuna usiri gani kwenye hii $3??