Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
kipo...nyota ya asubuhi,ama venus ndo lucifer....
Nani amesema hivyo? Una any scientific proof?
kipo...nyota ya asubuhi,ama venus ndo lucifer....
Huu ni ukweli usiojulikana na wengi pia usioaminika/kupendwa na wengi!!!
Bavaria ni hivi kwanza kitu ambacho hakipo hakiwezi kuwa na jina pili lusifer ni roho na roho ni energy kwahiyo usifikiri kuwa unaweza kupata solid proof ya kisayansi na hata hivyo vitu vyenye ithibati za kisayansi bado manmade logics ambazo zinaweza kiwa challengableNani amesema hivyo? Una any scientific proof?
Ishu ni kwamba lucifer ni kitu abstract, hakishikiki wala kuonekana. Ndo maana nikataka uthibitisho
vipo vitu vingi vinapaswa kuaminiwa kuwa vipo hata kama havionekani.....Ni kama wewe mwenyewe anavyoamini kuwa unaakili jambo ambalo ni sahihi kabisa lakini hakuna mtu hata mmoja aliyewahi kuiona akili yako na hata wewe mwenyewe hujawahi kuiona akili yako.
Je kwa sababu hatujawahi na hata wewe hujawahi kuiona akili yako tusema kuwa huna akili?...hata akili ni kitu hakishikiki na wala kuonekana it is an abstract!
hilo la ISL ndio najua leo nilidhani ni waiziraeli ila kuna kundi lina pigana bega kwa bega na IS linaitwa ALNUSURA FRONT . hili linadhaminia 100% na MAREKANI !!