kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,506
- 18,872
Na ni wa jewish wote yaani hata marekani ukiwa mjewish wallah hukosi kazi hawa viumbe wanashikilia kila kitu.
Hata hapa Kwetu wapo tena wengi tu....
Na ni wa jewish wote yaani hata marekani ukiwa mjewish wallah hukosi kazi hawa viumbe wanashikilia kila kitu.
hao ni wale koo za wayahudi wanaomiliki mabank na kuamini katika lucifer.
actually ni hivi,baada ya mfalme solomon kufa,mtoto wake alirithi ufalme,nae akawa katili akiwalipisha raia wake kodi za manyanyaso,wazee wa kiisrael wakamfata kuomba alegeze kidogo makali ya utawala.yeye akawajibu kwa nyodo kuwa atazidisha maradufu kuliko babayake solomoni.
makabila kumi ya israel wakaasi na huo ukawa mwanzo wa israel kuwa mapande 2.
yale makabila yaliyyoasi yakachagua mfalme wao nje ya ukoo wa mfalme daud,na nchi yao ikaitwa israel kingdom.
makabila mawili ya yuda na benjamini ndo yakawa na nchi iitwayo kingdom of judah.hawa ndo walijiona watu wa ukoo wa daud.
miaka imeenda israel kingdom ikavamiwa na waasyria na kuchukuliwa utumwani na kupotelea huko.hayo ndo huitwa makabila kumi ya israel yaliyopotea.
ukabaki ufalme wa yudah,kumbuka hawa ndo jews,fastfoward miaka kadhaa yudah nayo ikaangushwa na wababelibaadhi wakachukuliwa hadi babel (iraq ya leo)utumwani.
SASA wale wa ukoo wa daud ambao ndo walikuwa watawala baada ya ufame wa yudah kuanguka,wakatorokea maeneo ya ulaya na mali na madini kibao,kama unakumbuka solomoni alikuwa tajiri sana.
wamefika huko ndo wakawa matajiri wa huko wakimilika viwanda na mabenki.
sasa bana hawa kama nilivosema wanatokana na ukoo wa mfalme daud na wanajiona kama holy family na WENYE HAKI YA KUITAWALA DUNIA.
Wamekuwa wakirithishana imani yao hiyo kizazi na kizazi na wanaamini ipo siku UKOO WA DAUD WATAITAWALA DUNIA.
Baadhi sasa ya hawa ndo hao ROTHCHILD,ROCKFELLAR,na wengine wamenitoka kidogo.
hawa lengo ni kuitawala dunia na wanamiliki viwanda vya silaha na mabenki.
ili waitawale dunia lazima population ya wanadamu ishuke hadi milion 500,wanaita getting lid of USELESS EATER.
KITU kitakachopunguza watu kikubwa ni vita na wako busy kuchochea vita popote pale.
hao ISIS wako kwa kazi maalumu ya kuchochea vita kati ya imani kubwa mbili,waislam na wakristo.
ukimsoma ALBERT PIKE utaona kuwa kumepangwa vita ya tatu itakuwa ni kati ya hizi dini mbili na italeta maangamizi makubwa yatakayopunguza wanadamu kwa kiasi kikubwa na baadae ndo itakuja seikali moja kwa dunia yote hawa jamaa ndo wakitawala,dini itabaki moja ya LUCIFERIAN .
Hakutakuwa tena na vita kwani wanadamu watakuwa wamechoka navyo na pia hawa jamaa viwanda vyao vya silaha watafunga na silaha zitabaki kwa watawala tu ..........naishia hapo kwasasa na hiyo ni summary
Hizi ni theories zinatengenezwa na watu kama sisi kwa nia ya kuteka fikra za watu. Zinatengenezwa kwa nia ya kudivert minds za watu towards normal logical reasoning.
Hakuna kitu kinachoitwa Lucifer dunia hii. Hakuna mwenye ushahidi...
Lucifer yupo na ana exist sana tu kubisha au kutokuamini kwako haimaanishi kuwa hayupo. Lucifer yupo sana tu.
Lucifer yupo na ana exist sana tu kubisha au kutokuamini kwako haimaanishi kuwa hayupo. Lucifer yupo sana tu.
Una proof kuwa lucifer yupo? Any touching material to substantiate your claim?
Diva Beyonce nimejifunza katika dini kuwa Lucifer yupo, sijathibitisha kama kweli yupo! Tafadhali nisaidie kujua hili pasina chembe ya wasiqadi kuwa shetani yupo ili nikue kiimani!
Una proof kuwa lucifer yupo? Any touching material to substantiate your claim?
Hizi ni theories zinatengenezwa na watu kama sisi kwa nia ya kuteka fikra za watu. Zinatengenezwa kwa nia ya kudivert minds za watu towards normal logical reasoning.
Hakuna kitu kinachoitwa Lucifer dunia hii. Hakuna mwenye ushahidi...
Jungle Warrior hizi si propaganda bali ni unabii kamili wa neno la Mungu pale aliposema 'yote chini ya jua ni ubatili' mtupu...na pale aliposema 'na tazama wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu' na 'hakuna mkamilifu la hata mmoja'
Kwahiyo hata kama israel ni taifa teule lakini liko chini ya jua na ni wanadamu kama sisi kwahiyo hakuna excuse kuwa wao ni wa kipekee na hawatendi dhambi wala hawakengeuki
Tuwe watu wa tafakuri ' Jungle Warrior' tusione kuwa ni mwiko kuzungumzia au kujadili mambo fulani...tuyajadili tu kwa ubaya au uzuri wake
Slogan ya JF inasema 'where we dare to talk openly' kwahiyo kwanini tujifungie kwenye box? Heading inasema PANDO LA MLAANIWA (USA) upuuzi na u mahiri wote kwenye chochote wa dunia hii unaanzia marekani ambayo kimsingi iko mikononi mwa israel...hebu tuwe na jicho angavu zaidi kwenye hili
Uteule wa taifa la israel usiifanye dunia mahali pa shetani israel isijisahau na kufanya ambayo yataiangamiza dunia kwa kisingizio kuwa wao ni taifa teule hili ni chukizo mbele za macho ya Mungu...Israel na Uteule wake yaweza kuwa chukizo mbele ya uso wa Bwana Mungu .kwahiyo tusibaki na kukariri kuwa huyo muache ni mteule kama ilivyozoeleka hapa nchini "huyo muache ni mteule wa rais" huku anaangamiza taifa
TUWE WATU WA KUTAFAKARI
kupisha kuwa hayupo haiondoi uwepo wake. Nikiwa secondary kuna jamaa alifanya project ya math kwa kutumia logic zote za hesabu akathibitisha sifuri ni sawa na moja (1=0). At the end in reality si kweli kwamba 0=1.
ujue kuna wanaomtafsiri lusifer kama sio shetani,tofauti na wanaomtafsiri kuwa shetani?
jaribu kuresearch......
Wewe intangible things una improve kivipi kwa physical evidence. Shetani ana exist sana tu hii inaweza Ku proviwa kwa walio rohoni tu. Sababu kuna ulimwengu wa Giza na Nuru.
Intangible things kuna aina yake ya kuona and not physically.
Sawa. Ila hakuna kitu kinachoitwa Lucifer
kipo...nyota ya asubuhi,ama venus ndo lucifer....
Umelewa
Una maana gani unaposema ni "kitu abstract" je abstraction inaweza kuwa katika physicalilty?Ishu ni kwamba lucifer ni kitu abstract, hakishikiki wala kuonekana. Ndo maana nikataka uthibitisho
Una maana gani unaposema ni "kitu abstract" je abstraction inaweza kuwa katika physicalilty?