Mama Mdogo JF-Expert Member Nov 21, 2007 2,961 2,138 Sep 29, 2012 #1 Wandugu wapenzi, ebu naommba mwongozo, nimpe ushauri gani huyu baba aliyeko ndani ya maji akiwavuta hao farasi anaonekana kuchanganyikiwa maana Panapofuka Moshi panaficha Moto; ajira yake hii ilimtia majaribuni na mafadhaiko makubwa.
Wandugu wapenzi, ebu naommba mwongozo, nimpe ushauri gani huyu baba aliyeko ndani ya maji akiwavuta hao farasi anaonekana kuchanganyikiwa maana Panapofuka Moshi panaficha Moto; ajira yake hii ilimtia majaribuni na mafadhaiko makubwa.
King’asti Platinum Member Nov 26, 2009 27,823 24,786 Sep 29, 2012 #2 Yeye anavuta farasi, kaonaje yanayoendelea nyuma yake? Avae mawani ya mbao kisogoni basi aache kuona rear view.
Yeye anavuta farasi, kaonaje yanayoendelea nyuma yake? Avae mawani ya mbao kisogoni basi aache kuona rear view.
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,991 94,008 Sep 29, 2012 #3 King'asti said: Yeye anavuta farasi, kaonaje yanayoendelea nyuma yake? Avae mawani ya mbao kisogoni basi aache kuona rear view. Click to expand... we huoni mibusu motomoto hiyo lazima iambatane na ngurumo kali kama misonyo vile
King'asti said: Yeye anavuta farasi, kaonaje yanayoendelea nyuma yake? Avae mawani ya mbao kisogoni basi aache kuona rear view. Click to expand... we huoni mibusu motomoto hiyo lazima iambatane na ngurumo kali kama misonyo vile
JICHO LA TATU JF-Expert Member Sep 28, 2012 306 49 Sep 29, 2012 #4 Ndo ajira hiyo lazima apige moyo konde
Kongosho JF-Expert Member Mar 21, 2011 35,999 24,175 Sep 29, 2012 #5 panapofuka Moshi pana Kilimanjaro.