Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,506
- 113,628
Uspika haumfai Doctor kwa kuwa hatakuwa huru sana kumwanga vimbwanga vya uhakika maana yeye atakuwa ndio bosi mjengoniHivi si anaweza kugombea uspika wa bunge pia? Au haya majangili ya CCM hayatampa kura zao...
Naona unaaza kufikiria kutoka tumboni na siyo kichwani kaka/ dada.Wanabodi,
Pamoja na mimi kukubali sio Sheikh Yahya, lakini Dr. Slaa ataingia bungeni hivi karibuni kwa njia mbili kuu.
1. Kuteuliwa na JK.
Pamoja na JK kuwa ni mtu wa visasi, lakini waungwana watamshauri amteue Dr. Slaa katika zile nafasi zake kumi za uteuzi kama alivyofanya Hamad Rashid, na juzi juzi kwa Ismail Jussa. The only argument itakamfanya msimteue ni kuwa Dr. Slaa ni shoka, shoka kweli, au upanga wa makali kuwili, kwa vile alikuwa mwimba mchungu kwa serikali ya CCM akiwa na Zitto, tuu, sasa kaongeza nguvu ya kina Freeman, JJ.Mnyika na Tundu Lissu na hao wengine kibao akiwemo, Sugu, hivyo akijiunga na timu hiyo, huo moto wao bungeni nani ataweza kuuzima, itakuwa ndio kujimba kabisa kaburi la CCM, 2015!
2. Kuteuliwa na Mungu!.
Wale wapenda mema wote na wapenda mageuzi na demokrasia ya kweli ndani ya bunge, wangependa kumuona Dr. Slaa akirudi bungeni, this time akiwa ndie Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali na na Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni. Hivyo sala zao zitasikiliza na Mungu baba atafanya mambo yake muda sii mrefu, Dr atarejea bungeni kama mbunge wa kuchaguliwa kupitia jimbo jingine lolote litakalobaki wazi muda sii mrefu kutoka sasa!.
Slaa asiludi bungeni inahitajika akae pembeni na kuimalisha chama kwa ajili ya 2015!
duh! watu wengine mnanifurahishaga na macomment yenu jamani!Naona unaaza kufikiria kutoka tumboni na siyo kichwani kaka/ dada.
Ngoma bado mbichi kabisa hapa.
tulimchagua urais na si ubunge wewe kalumekenge
Wanabodi,
Pamoja na mimi kukubali sio Sheikh Yahya, lakini Dr. Slaa ataingia bungeni hivi karibuni kwa njia mbili kuu.
1. Kuteuliwa na JK.
Pamoja na JK kuwa ni mtu wa visasi, lakini waungwana watamshauri amteue Dr. Slaa katika zile nafasi zake kumi za uteuzi kama alivyofanya Hamad Rashid, na juzi juzi kwa Ismail Jussa. The only argument itakamfanya msimteue ni kuwa Dr. Slaa ni shoka, shoka kweli, au upanga wa makali kuwili, kwa vile alikuwa mwimba mchungu kwa serikali ya CCM akiwa na Zitto, tuu, sasa kaongeza nguvu ya kina Freeman, JJ.Mnyika na Tundu Lissu na hao wengine kibao akiwemo, Sugu, hivyo akijiunga na timu hiyo, huo moto wao bungeni nani ataweza kuuzima, itakuwa ndio kujimba kabisa kaburi la CCM, 2015!
2. Kuteuliwa na Mungu!.
Wale wapenda mema wote na wapenda mageuzi na demokrasia ya kweli ndani ya bunge, wangependa kumuona Dr. Slaa akirudi bungeni, this time akiwa ndie Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali na na Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni. Hivyo sala zao zitasikiliza na Mungu baba atafanya mambo yake muda sii mrefu, Dr atarejea bungeni kama mbunge wa kuchaguliwa kupitia jimbo jingine lolote litakalobaki wazi muda sii mrefu kutoka sasa!.
Kama kweli Slaa kakomaa kisiasa hangethubutu kumnadi Kikwete kama gaidi na kuwakose heshma hata wazazi wake,Muungwana akiudhiwa hutabasamu,huyu ndio kiongozi,sio Slaa kutabasam hana ila majungu na fitna tu,je siasa nikutuka wazazi wamwenzako? Slaa atakuwa shoka kwa Hawara wake aliyemnadi Dar wakti wa kampeni,eti mapadri hawaoi vip Slaa kapata Hawara then akatuchafulie Ikulu na Hawara,mmh
Ferds, huna haja ya kutukana watu wehu, kuwa spika sio lazima uwe mwanasheria, Chifu Adam Sapi Mkwawa hakuwa mwanasheria, Pius Msekwa hakuwa mwanasheria, Getrude Mongela wa Spika wa Bunge la Afrika, sio mwanasheria na Abrahman Kinana, aliyekuwa spika wa Bunge la Afrika Mashariki, ambaye ndio anayekuja kuwa spika wa sasa, sio mwanasheria, imetokea tuu kwa spika Stta ndiye mwanasheria.Humu ndani ya forum wengine ni wehu, eti slaa awe spika, spika lazime awe mwanasheria kaka,