Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,045
- 144,444
Kwanza sio kila anayesifu na kupongeza niHuo moyo wa kusifu na kupongeza wenzetu siju mnaupata wapi!!!
We jamaa siku hizi hueleweki..huo ndo ukweliKwanza sio kila anayesifu na kupongeza ni
msaka vyeo.
Pili watu wote ambao ni wakweli, wenye truthful and objectivity watauona ukweli jinsi ulivyo, na watausema ukweli halisi uliopo, kwenye mazuri watasifu na kupongeza, kwenye maovu watalaani, kwenye mabaya watakosoa na kwenye mapungufu watashauri.
Hata shetani japo ni mbaya kabisa, pia ana mazuri yake. Mfano mzuri wa mazuri ya shetani ni kusababisha ile dhambi ya asili ya kumshawishi mama yetu Eva kutoa lile tunda likamwengwa, hivyo kila binadamu ili azaliwe ni lazima kwanza ile dhambi ya asili itendeke, mtu pekee aliyezaliwa bila ya dhambi ya asili kutendeka, ni Bwana wetu Yesu Kristo baada ya Bikira Maria ndie mwanamke pekee hapa duniani, aliyekingiwa dhambi ya asili, hivyo akapata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu na sio kwa lile tendo.
Hivyo ni ukweli dhahir Shahir, pamoja na meingine yote, kuna mazuri yanayofanyika ambayo yanastahili sifa, pongezi na kuungwa mkono.
Kuna watu macho yao ni uni directional, wao wanaona side au upande mmoja tuu wa shilingi, ule upande wa mabaya, mapungufu tuu na makosa, lakini upande wa pili was shilingi, ule upande wa mazuri, mema, mafanikio, wao hawaoni.
Sasa mtu mkweli na objective kama mimi ninaangazia pande zote objectively kwenye mazuri napongeza, kwenye mabaya nakosoa.
P.
..we jamaa tatzo hueleweki siku hzi..Kwanza sio kila anayesifu na kupongeza ni

Mkuu yaani leo unamsifia shetani kwa kutenda dhambi ya asili kwamba bila shetani watu wasingezaana? Yaani Mungu aliposema nendeni mkaijaze Dunia hakuwa na mpango wake? Mkuu nenda katubu leo kanisani tena umweleze Padri kwamba umemtukuza shetani na mambo yake hivyo unatubu!Kwanza sio kila anayesifu na kupongeza ni
msaka vyeo.
Pili watu wote ambao ni wakweli, wenye truthful and objectivity watauona ukweli jinsi ulivyo, na watausema ukweli halisi uliopo, kwenye mazuri watasifu na kupongeza, kwenye maovu watalaani, kwenye mabaya watakosoa na kwenye mapungufu watashauri.
Hata shetani japo ni mbaya kabisa, pia ana mazuri yake. Mfano mzuri wa mazuri ya shetani ni kusababisha ile dhambi ya asili ya kumshawishi mama yetu Eva kutoa lile tunda likamwengwa, hivyo kila binadamu ili azaliwe ni lazima kwanza ile dhambi ya asili itendeke, mtu pekee aliyezaliwa bila ya dhambi ya asili kutendeka, ni Bwana wetu Yesu Kristo baada ya Bikira Maria ndie mwanamke pekee hapa duniani, aliyekingiwa dhambi ya asili, hivyo akapata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu na sio kwa lile tendo.
Hivyo ni ukweli dhahir Shahir, pamoja na meingine yote, kuna mazuri yanayofanyika ambayo yanastahili sifa, pongezi na kuungwa mkono.
Kuna watu macho yao ni uni directional, wao wanaona side au upande mmoja tuu wa shilingi, ule upande wa mabaya, mapungufu tuu na makosa, lakini upande wa pili was shilingi, ule upande wa mazuri, mema, mafanikio, wao hawaoni.
Sasa mtu mkweli na objective kama mimi ninaangazia pande zote objectively kwenye mazuri napongeza, kwenye mabaya nakosoa.
P.
Kwaiyo siku hizi Watanzania tunamipaka ndani ya nchi, huo ubaguziHawa akina Nyakorema, Bhoke, Mokami, Waningo, Rhobi na Nyambura ndio walienda kukutana Bariadi?
Kwanza sio kila anayesifu na kupongeza ni
msaka vyeo.
Pili watu wote ambao ni wakweli, wenye truthful and objectivity watauona ukweli jinsi ulivyo, na watausema ukweli halisi uliopo, kwenye mazuri watasifu na kupongeza, kwenye maovu watalaani, kwenye mabaya watakosoa na kwenye mapungufu watashauri.
Hata shetani japo ni mbaya kabisa, pia ana mazuri yake. Mfano mzuri wa mazuri ya shetani ni kusababisha ile dhambi ya asili ya kumshawishi mama yetu Eva kutoa lile tunda likamwengwa, hivyo kila binadamu ili azaliwe ni lazima kwanza ile dhambi ya asili itendeke, mtu pekee aliyezaliwa bila ya dhambi ya asili kutendeka, ni Bwana wetu Yesu Kristo baada ya Bikira Maria ndie mwanamke pekee hapa duniani, aliyekingiwa dhambi ya asili, hivyo akapata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu na sio kwa lile tendo.
Hivyo ni ukweli dhahir Shahir, pamoja na meingine yote, kuna mazuri yanayofanyika ambayo yanastahili sifa, pongezi na kuungwa mkono.
Kuna watu macho yao ni uni directional, wao wanaona side au upande mmoja tuu wa shilingi, ule upande wa mabaya, mapungufu tuu na makosa, lakini upande wa pili was shilingi, ule upande wa mazuri, mema, mafanikio, wao hawaoni.
Sasa mtu mkweli na objective kama mimi ninaangazia pande zote objectively kwenye mazuri napongeza, kwenye mabaya nakosoa.
P.
Mayalla unaogopa kutekwa! Kajinga! Huyu Mzee bure kabisa, kama kuna mazuri anayofanya mengi yanafunikwa na uovu! Mimi nimpongeze kwa mile anachokifanya kule Chatco!Kwanza sio kila anayesifu na kupongeza ni
msaka vyeo.
Pili watu wote ambao ni wakweli, wenye truthful and objectivity watauona ukweli jinsi ulivyo, na watausema ukweli halisi uliopo, kwenye mazuri watasifu na kupongeza, kwenye maovu watalaani, kwenye mabaya watakosoa na kwenye mapungufu watashauri.
Hata shetani japo ni mbaya kabisa, pia ana mazuri yake. Mfano mzuri wa mazuri ya shetani ni kusababisha ile dhambi ya asili ya kumshawishi mama yetu Eva kutoa lile tunda likamwengwa, hivyo kila binadamu ili azaliwe ni lazima kwanza ile dhambi ya asili itendeke, mtu pekee aliyezaliwa bila ya dhambi ya asili kutendeka, ni Bwana wetu Yesu Kristo baada ya Bikira Maria ndie mwanamke pekee hapa duniani, aliyekingiwa dhambi ya asili, hivyo akapata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu na sio kwa lile tendo.
Hivyo ni ukweli dhahir Shahir, pamoja na meingine yote, kuna mazuri yanayofanyika ambayo yanastahili sifa, pongezi na kuungwa mkono.
Kuna watu macho yao ni uni directional, wao wanaona side au upande mmoja tuu wa shilingi, ule upande wa mabaya, mapungufu tuu na makosa, lakini upande wa pili was shilingi, ule upande wa mazuri, mema, mafanikio, wao hawaoni.
Sasa mtu mkweli na objective kama mimi ninaangazia pande zote objectively kwenye mazuri napongeza, kwenye mabaya nakosoa.
P.
Pascal acha uongo dhahiri. Kwa hiyo unamaanisha kuwa dhambi ya asili ni kufanya sex na ndicho shetani alikileta? Kama ni hivyo kwa nini Mungu aliviumba viungo vya uzazi? Kwa nini Mungu aliwabariki Adam na Hawa wazae waijaze nchi kabla ya kula tunda? Wangezaaje? Ukweli na objectivity ya mtu unapimwa na watu na sio mwenyewe. Kama watu wanakuona umepoteza objectivity, hata ukijisemaje ndio watakuchukulia hivyo.Kwanza sio kila anayesifu na kupongeza ni