lucky sabasaba
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,656
- 1,203
Magamba mwaka huu mtasumbuka sanaa
Hakuna malaika hapa duniani tusisumbuliwe na wanasiasa hawa.Dr.Slaa aamuwe moja kusuka ama kunyoa.
Aondoke tu tena faster!Sema alijikopesha fedha ya RUZUKU hii haina tofauti na waliokwapua pesa ya ruzuku ya import support!
Padri gani ambaye hajui kusamehe? Mbona yeye mambo yake ya kizinzi yamesamehewa?Aondoke tu tena faster!
Tangu lini chama kikatoa mikopo?