Habari wanabodi....kwanza nianze kwa kusema kwa mara ya kwanza nichangie hoja ya Pasco wa JF kama anavyojiita. Napata shida sana na uwezo wa kufikiri wa huyu jamaa, sijui mtazamo wake juu ya hoja zinazozingatia uhalisia uko wap. Naomba nikiri wazi kila ninaposoma maandiko yake natofautiana nae absolutely na jinsi ninavyofikiria jambo husika na nahisi watu wengi hutofautiana nae pia, kwa mfano, suala la chenge na mchango wake wa kutetea wezi wengine...huyu pasco anaweza kuona kuwa ni best brain...shame!!!!.labda niseme tu kinachokubeba na kinachokupa ujasiri wakuandika humu jukwaani ni ukongwe wako na umaarufu na sio sensible contents...ukisoma hoja za mtu kama Nguruvi, unasoma sensible contents in every line that you read, sio hizi porojo na kejeli za pasco. Natoa rai, kama pasco ungeandika onetl just onethird ya Nguruvi ningekuona wa maana...other wise niseme tu Pasco ni mwepesi sana na commets zako ni non-sense
Wanabodi,
Natanguliza kwa kuomba msamaha kutumia maneno makali, kwa hapa nchi yetu ilipofika, labda maneno makali kama haya, yatasaidia, to change for the better!.
We are ignorants, na wabunge wetu ni ignorants!.
Mnyonge Mnyongeni, haki yake mpeni, Mhe, Andrew Change, ni one of the best legal draftsmen we have kwenye Bunge letu, ila kufuati wengi wa wabunge wetu ni ignorants, wazo alilopendekeza jana, kuhusu drafting ya azimio la bunge, kumepelekea kikao muhimu sana cha bunge kuvunjika kwa ujinga tuu wa wabunge wetu!.
Naomba kukiri wazi, wazo la kuandika thread hii, limekuwa inspired na post ya Nguruvi3
Mkuu Nguruvi3,
Naomba kuanza kwa kudeclare my interest, Pasco wa jf ni ignorant, na anajijua ni ignorant, ndio maana ana comment ignorance kwenye public ya jf ili kila mtu ajue Pasco ni ignorant!.
Tanzania tuna ignorants, wengi, wengine wanajijua ni ignorants ila wanaamua kunyamaza bila kucoment ili hiyo ignorance yao, isijulikane, wengine ni ignorants ila hawajajijua kuwa ni ignorants, na kwa vile wako kimya, one can not tell na wenyewe hawajijui!, ila wengine ni iginorants, hawajijui kuwa ni ignorants, hivyo wanapofanya vitendo vya ignorance kama jana pale bungeni, wakitoka nje wanapongezana kwa ushujaa wa ignorance ile!, hawa wanahitaji kusaidiwa kujulishwa they are ignorants!, ili angalau sasa watumie brain zao to think kabla ya kusema na kutenda na sio kutumia feelings.
Watanzania tuna problem ya Ignorance!, ambayo hata wabunge wetu wetu ni ignorants tuu!, sasa huyu Chenge pamoja na ma ufisadi yake yote, ni mmoja wa watu sensible mule bungeni!, pendekezo lake la phrasing azimio lile was the best!. Chenge sio tuu ni mwanasheria wa Havard, bali kwenye sheria kuna maeneo mengi sana ya specialization inayohitaji kipaji fulani on top of being just a lawyer, moja ya enero gumu kabisa ni legal drafting!, ndio maana tulipota uhuru, sheria zetu zote tulicopy and paster "para materiale" (neno kwa neno) kutoka India, simpy because hatuna legal drafting people mule bungeni!, tukubali tukatae, Andrew Chenge is the best!, ametoa pendekezo ambalo ndio the best, lakini kwa vile bunge letu limejaa ma ignorants, ma ignorants hawa wakakataa pendekezo la Change, simply because Chenge ni fisadi, na pendekezo lake limeungwa mkono na Mwenyekiti wa PAC, Mhe. Zitto Kabwe!.
Kiukweli kilichofanywa jana na wale ma ignorants kule bungeni, ni display ya ignorance at the top level!, na kwa vile sisi Watanzania pia ni ignorants, tunashangilia ile ignorance!.
Naomba Chenge ahukumiwe kwa ugfisadi wake, which has nothing to do with uwezo wake wa the best legal drafting!.
Kila siku tunasisitiza humu, mnyonge, mnyongeni!, haki yake mpeni!.
Kuhusu Watanzania na Ignorance, nimeizungumzia hapa.
Escrow: Jee Watanzania ni Ignorants? au Tumelogwa?!.
Nasisitiza nimesema we are ignorants, sijasema we are stupid!.
Pasco
Pasco umepatwa na nini nowadays Brother. Naumia sana mtu ambaye ninakua namheshimu anapofanya mzaha kwenye mambo ya msingi...that was a well organised game. Labda umchukuliea kwa upande huo kuwa walijipanga vyema ila sio kutoa point. Aliyoyaongea mtu yoyote angeweza kuyasema. Hayana u-professional wowote.
Even Satan is one of the best brains in the world.