Pamoja na makubaliano ya awali, ngoma bado nzito! Madereva wa Tanzania wamegoma kupeleka mizigo Rwanda

Mizigo ya Rwanda hata sasa ni kiasi kidogo sana. Wakiamua kutumia port ya Mombasa effects zake kwa TZ ni almost negligible.

Swali, kwanini sasa wasichukue chakula huko Kenya na Uganda?
Sisi mbona Sukari tunawabembeleza Waganda tukijifanya kuwapelekea maradhi majirani zetu eti kwa sababu sisi ati tuna chakula wewnzetu wanajali afya zao
 
Kama kawaida yenu chadema alyways mnasimama na mataifa ya nje kutetea maslahi yao

CCM tu sisi ndio watetezi pekee Wa maslahi ya watanzania

Madereva komaeni hivyo hivyo .Madreva Wa Rwanda wakija kwetu ha tu Wa escort wala kuwapangia walale wapi sijui kwa gharama za importer !! wako free

Mimi kama mwana CCM Niko nanyi kwenye madai yenu watanzania wenzangu tuko pamoja. Chadema wako pamoja na kagame kama muna kadi za chadema chaneni chomeni moto
chadema yenyewe ishakufa tena hiyo, mbowe kakinyonga chama mchana kweupeee
 
Eti kinchi kama kirwanda na chenyewe kinaipiga mkwara Tanzania, stupid; Kenya tayari, hawa pua ndefu na wenyewe let us see, ningefurahi kama show ingepigwa kama wiki hivi ili washike ADABU, sisi ndio USA ya EAC, watu wakubali au wakatae, huo ndio ukweli.
 
....TUNASHIDWA KUELEWANA WAKATI KABLA YA MZUNGU KUCHORA MIPAKA TULIKUWA TUNAINGILIANA....
ILA SISI WAAFRICA NIMEGUNDUA NI WATU TUSIOJIELEWA KISA TUU MIPAKA ILIYOCHORWA NA MZUNGU TUNASHIDWA KUELEWANA WAKATI KABLA YA MZUNGU KUCHORA MIPAKA TULIKUWA TUNAINGILIANA NA KUTEMBELEANA

ONA SASA KINACHOENDELEA KATI YA TIZIII NA RWANDIZZZZ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Madereva wetu nao wanatakiwa wafikirie mbali maana Rwanda wakimaliza kujenda Dry port yao Kenya wanaweza kulazimisha mizigo yote kupitia bandari ya MSA

Halafu mizigo ikipungua Transpoters wanaanza kuwapunguza kazini
Na chakula watakua wanatoa kwenye hiyo dry port? Kenya yenyewe inahitaji chakula from Tanzania, ije kua Rwanda?
 
Na chakula watakua wanatoa kwenye hiyo dry port? Kenya yenyewe inahitaji chakula from Tanzania, ije kua Rwanda?
hivi na hili suala la nzige wanaowashambulia kenye, hali ya upatikanaji wa chakula itakuwaje + na hili la kufungiana mipaka?
 
Na chakula watakua wanatoa kwenye hiyo dry port? Kenya yenyewe inahitaji chakula from Tanzania, ije kua Rwanda?
Hebu tuangalie chakula kikuu cha Wanyarwanda ambacho ni Mchele na Ndizi Ndizi wanajitosheleza Mchele nao wanatoa Vietnam
Na sasa hivi wanalima mchele wao
 
ILA SISI WAAFRICA NIMEGUNDUA NI WATU TUSIOJIELEWA KISA TUU MIPAKA ILIYOCHORWA NA MZUNGU TUNASHIDWA KUELEWANA WAKATI KABLA YA MZUNGU KUCHORA MIPAKA TULIKUWA TUNAINGILIANA NA KUTEMBELEANA

ONA SASA KINACHOENDELEA KATI YA TIZIII NA RWANDIZZZZ
Tunayo shida kubwa , hata hivyo Ubinafsi haujabaki nyuma.

Kama tunazuiana kwenye mipaka maanaya yake nikwamba kunashida ya kuonana kama sisi kwa sisi hatuthamimiani! Ilihali ni jamii moja ya weusi (waafrika)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ILA SISI WAAFRICA NIMEGUNDUA NI WATU TUSIOJIELEWA KISA TUU MIPAKA ILIYOCHORWA NA MZUNGU TUNASHIDWA KUELEWANA WAKATI KABLA YA MZUNGU KUCHORA MIPAKA TULIKUWA TUNAINGILIANA NA KUTEMBELEANA

ONA SASA KINACHOENDELEA KATI YA TIZIII NA RWANDIZZZZ
Kwahiyo kabla ya wakoloni kuweka mipaka tanganyika au Kenya (kwa mfano) ilikuwaje na iliitwa nchi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom