t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 6,368
- 14,753
Mi sijasema popote kuwa jamaa Ni mjinga , hayo unasema wewe , ninachojadili na wewe Ni uhalisia wa gharama za Rwanda kushusha mzigo Mombasa then usafirishwe Hadi naivasha kwa sgr , then aubebe kwa trucks Hadi malaba Uganda then Kigali! Halafu iwe ni rahisi kwake ? NakataaKwa hiyo unafikiri Kagame ni mjinga?
Dar port bado ni chaguo rahisi kwake kwa sasa , by the way Kama trend itaendekea kwa mwezi tu , Rwanda atafunga kiwanda cha Cimerwa mana kinategemea coal supply kutoka southern Tanzania kwa kiasi kikubwa.
Sent