Pamoja na Katiba mpya Rais Ruto apiga marufuku Maandamano, Chadema mna la kujifunza hapo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,964
141,964
Kiukweli tuna mengi ya kujifunza kwa ndugu zetu Kenya zaidi ya kumsifia tu Chebukati na Tume yake ya Uchaguzi

Ruto amepiga Marufuku maandamano ya Wapinzani siku ya Jumanne na kuahidi kuwashughulikia endapo watakaidi

" Mimi ni Amiri Jeshi mkuu atakayekaidi agizo langu Atajua kuwa hajui" amesisitiza Rais Ruto
 
Sasa inatusaidia nini hayo, sisi tuna shida nyingi ambazo tunatakiwa tuhoji kama vijana, kwanza report ya CAG na tozo za kijinga tulitakiwa tutoke barabarani.

Wakenya sio ng'ombe kama wewe hapo lumumba, wakenya wanajitambua sana tu sisi watanzania hakuna tunalojua we are the same with kondoo ok
 
Ruto ni mshinda tuzo ya uchaguzi,maamuzi anayo yeye,kusuka au kunyowa Kama alivyofanya Mwendazake! RIP!!
 
Kiukweli tuna mengi ya kujifunza kwa ndugu zetu Kenya zaidi ya kumsifia tu Chebukati na Tume yake ya Uchaguzi

Ruto amepiga Marufuku maandamano ya Wapinzani siku ya Jumanne na kuahidi kuwashughulikia endapo watakaidi

" Mimi ni Amiri Jeshi mkuu atakayekaidi agizo langu Atajua kuwa hajui" amesisitiza Rais Ruto
Hata hapa itakuwa hivyo ndio maana huwa nawashangaa wanaosema eti katiba itajibu kila kitu, ule puuzi wa januari 6th pale capital Hill wa wafuasi wa Trump unadhani hakujua katiba anazuia

Katiba ni kama bendera na serkali ni upepo,

USA
 
Chadema wajifunze mara ngapi, nafikiri Chadema ndio wawaambie wenzao kule...'Mweee' 'nsicheze na Dola nyie' 'Bakieni na maridhiano angalabu!'

Katiba yetu haina mapungufu wala meno yeyote yale kama wanavyotaka wanaharakati tuamini kuhusu Maandamano.
 
Sasa inatusaidia nini hayo, sisi tuna shida nyingi ambazo tunatakiwa tuhoji kama vijana, kwanza report ya CAG na tozo za kijinga tulitakiwa tutoke barabarani.

Wakenya sio ng'ombe kama wewe hapo lumumba, wakenya wanajitambua sana tu sisi watanzania hakuna tunalojua we are the same with kondoo ok
Umekubali matokeo
 
Kiukweli tuna mengi ya kujifunza kwa ndugu zetu Kenya zaidi ya kumsifia tu Chebukati na Tume yake ya Uchaguzi

Ruto amepiga Marufuku maandamano ya Wapinzani siku ya Jumanne na kuahidi kuwashughulikia endapo watakaidi

" Mimi ni Amiri Jeshi mkuu atakayekaidi agizo langu Atajua kuwa hajui" amesisitiza Rais Ruto
Nitarudi hapa baada ya Jumanne...
 
Kiukweli tuna mengi ya kujifunza kwa ndugu zetu Kenya zaidi ya kumsifia tu Chebukati na Tume yake ya Uchaguzi

Ruto amepiga Marufuku maandamano ya Wapinzani siku ya Jumanne na kuahidi kuwashughulikia endapo watakaidi

" Mimi ni Amiri Jeshi mkuu atakayekaidi agizo langu Atajua kuwa hajui" amesisitiza Rais Ruto
Reasoning ya Kijinga kabisa hii
Tanzania ukiwa Mfuasi wa CCM automatic unakuwa Taahira kama Wafuasi wa Pastor Mackenzie walioshinda na Njaa Hadi kufa
 
Kiukweli tuna mengi ya kujifunza kwa ndugu zetu Kenya zaidi ya kumsifia tu Chebukati na Tume yake ya Uchaguzi

Ruto amepiga Marufuku maandamano ya Wapinzani siku ya Jumanne na kuahidi kuwashughulikia endapo watakaidi

" Mimi ni Amiri Jeshi mkuu atakayekaidi agizo langu Atajua kuwa hajui" amesisitiza Rais Ruto
Hata last time alipiga biti ila mahakama ikasema zuio la maandamano ni batili. So kufikia jumatatu tamko litapigwa chini tu sio kama Tanzania ambapo kauli ya Rais ni final.
 
Ni kauli tu za kisiasa, Hana mamlaka kuzuia màndamano yaliyopo kisheria.

Ni Jana tu amembadili CDF Kwa HOFU ya kugeukiwa.

Mishahara pia haijalipwa Amna pesa.

AFYA yake pia imezorota sana.

Anahitaji kutiwa moyo Kwa KAZI ngumu mbele yake.
 
Back
Top Bottom