mdaharunga
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 413
- 401
Alikuridhisha wewe tu. Nakuapia kwa jina Mungu. Hapo keshapata ni kinani kati ya ndugu zake wanaochukia serikali. Unajua kilele pori wewe. Unajua kiapo. Unajua hukuja kulala na pia chungulia pipa? Askari ambaye alipitia haya, hakutoka nanga na akaapa usije hata Siku moja ukaamini atageuka dola. Yeye ni chombo cha dola. Anafanya kazi za dola. Labda itokee wao ndio wachukue madaraka, siyo eti wampiganie mwanasiasa mwingine.Huu moto ndyo umeanza kuwaka we subir. Wamewadharau watz vya kutosha
Juzi nlkuwa naongea na Binamu yangu yupo FFU. Anachukia hii serkali ile mbya. Anadai maandamano yakitokea na yeye atakuwa anasikilizia upepo. Akiona hali mbaya anaamia upande wa waandamaniji.
Kumzidi yule?Huyo ni tapeli tuuu
Sio raiaAkiwasifia anakuwa shujaa akiwakosoa tapeli
Sio huo aliousema, rudia kusoma ujumbe wake, tatizo lenu mlipata vyeti kwa majina ya watu wengine, na wengi wenu mmejificha huko ccm hamwezi pambana hata kidogo in a real world,Uhuru wa kuingia uchi kanisani?
Mwiba umepenya.Huyo ni tapeli tuuu
Bila shaka imeingia.Uhuru wa kuingia uchi kanisani?
Huyo ni tapeli tuuu
Kivipi MkuuHii nchi inahitaji kupumua sasa....kila mtu anaona kakabwa. 26/4 taifa litacheua
Msisemwe .. acha roho mbayaHuyo ni tapeli tuuu
unapoteza muda wewe hiyo laana ulishaipata wewe hahahahaNa lilaaniwe tumbo lililokuzaa na matiti uliyonyonya. Unaleta upuuzi kwenye mambo mazito!
Huo ndio mwisho wasl upeo wako kama wengi wenu mlivyo awamu hiiHuyo ni tapeli tuuu
Hizo ni dharau za kupita mpaka mwanadamu mwenzio anayejitolea yhai wake kukulinda unamwita CHOMBO CHA DOLA?Alikuridhisha wewe tu. Nakuapia kwa jina Mungu. Hapo keshapata ni kinani kati ya ndugu zake wanaochukia serikali. Unajua kilele pori wewe. Unajua kiapo. Unajua hukuja kulala na pia chungulia pipa? Askari ambaye alipitia haya, hakutoka nanga na akaapa usije hata Siku moja ukaamini atageuka dola. Yeye ni chombo cha dola. Anafanya kazi za dola. Labda itokee wao ndio wachukue madaraka, siyo eti wampiganie mwanasiasa mwingine.