dfk-agent
Senior Member
- Aug 5, 2013
- 131
- 163
Hii Picha imenitoa Machozi
nauhakika katika mechi hii nilikuwa ndani ya nyumba, jukwaa kuu.
kuanzia kuchoto kwenda kulia waliosimama
Madata Lubugisa
Rajabu Musoma
Beya Simba
Nteze John
Kitwana Suleiman
Fumo Felician
Nimemsahau (naomba nikumbushwe)
Paul Rwechungura
Waliokaa kuanzia kushoto
George Gole
Khalfani Ngasa
Ali Bushiri
Nimemsahau (Naomba nikumbushwe)
Mao Mkami
Salehe Mohamed
Nimemsahau (Naomba Nikumbushwe)
Niko Bambaga.
Jemini Kiiza kati ya Fumo na Rwechungura, Alphonce Modest baada ya Ali Bushiri, nadhani Ibra Washokera kabla ya Nico Bambaga.
Kuna mechi moja Yanga walipigwa bao uwanja wa taifa....Mtangazaji anakwambia....Tenze John Lungu anajikunja hapa kama samaki wa mkizi....hahaa, hiyo sentensi sitaisahau!! Halafu kuna mechi CCM Kirumba, Mao Mkamy alimfanyia move moja Athuman China sijawahi kuiona iwe Gaucho au Okocha....I still visualise that move since early 90s....sijaona. Mpira ulikuja hewani, akautuliza kwa ndani ya mguu (inside foot)....akabonyea chini...akautelezesha mguu juu ya mpira hadi mpira ukatulia kwenye goti (kwa ndani), china akapitiliza nyuma (akijua jamaa anapiga kisigino), Mao Mkamy akaondoka na mpira.....watu wakakaanga chipsi!!