Are you sure? Ile ilikuwa vita bwanaGadafi si ndio alituma majeshi kuja kulishambulia taifa la Mungu (Tanzania) wakati wa vita ya kagera???
Gadafi si ndio alikuwa anaendesha mpango wa kusilimisha afrika nzima huku akijifanya anateneneza AFRICAN UNION? (ONE AFRICA WITH ONE RELIGION)
Gadafi si ndio alienda na dhihaka ardhi takatifu ya ROMA kwa kuwabebesha vitabu makahaba huku wakiwa na ujumbe wa dini fulani??
Unajua misaada ya gadafi kwa afrika ilikuwa na lengo gani??
Unajua matatizo na vikundi vinavyosumbua sasa hivi afrika vingi viliandaliwa na kulelewa na gadafi?
Mtu na akili zako unaacha kuombea matatizo yako unaanza kumuombea mtu ambaye huenda hata siyo ndugu yako kweli?Mungu akiamua hata taifa lifunge siku 40 unachomoka tu kwani gadafi alikuwa hapendwi ushamba unao ww kubabaika tawala za kidunia labda kama ana matatizo ni sahihi kumuombea vinginevyo anatekeleza majukumu yake hakuna mtu special.
Da tena siku hizi idadi ya madalali imeongezea karibu bihashara nyingiBei ya pamba inaweza kua hata elfu 3.
Tatizo liko kwa walanguzi na watu wa katikati.
Watu waliokua wamezoea kuishi kimagumashi na kiwizi wizi watafte kazi nyingine
Magufuri tunyooshe baba.