Pamba sh 1200/kg; Asante Magufuli

Pamba sh 1200/kg; Asante Magufuli

pesa za vifaa vya kijeshi wanapata wap kwa sasa mana kafa 2011
Nimekuambia kuna baadhi ya watu wenye uwezo walikubali itikadi zake ndio wanaendeleza kwa ku sapoti hayo makundi.
 
Nimekuambia kuna baadhi ya watu wenye uwezo walikubali itikadi zake ndio wanaendeleza kwa ku sapoti hayo makundi.

we jamaa bana uongo mbaya naishia hapa gadaf kaja tz kaacha msikit dodoma kaenda uganda kaacha pesa kaenda south kaacha pesa tena anazipa serikali misaada sio watu binafs na hakuna mapigano ya kidin hizo nchi kuwa makini
 
Wakati wa Nyrere alituma majeshi yaje yamsaidie ndugu yake IDD AMIN atupige baati nzuri tukawakamata kama kuku,,,, huu upendo aliokuja eti kutupa fedha na kutujengea ulitoka wapi??? ama au kuna wakati alitubu na kutuomba msamaha???
 
Ndugu watanzania, kwa mara ya kwanza bei ya Pamba imegonga 1200/kg badala ya sh 800 amabyo wanunuzi walizoea kutupa wakati wa kikwete. Asante Mh Rais, naamini hata huku kwenye Korosho na Mbaazi mambo yatakuwa bora zaidi.

Vipi kuhusu uzalishaji, manake mavuno yamepungua kuliko wakati huo unaotaja. Uzalishaji ukishuka bidhaa zinakuwa adimu na wanunuzi lazima waongeze dau kupata Zaidi. Mtafutieni kiki lakini ukweli lazima utawavua nguo na muda ndio unaosubiliwa.
 
Mungu akiamua hata taifa lifunge siku 40 unachomoka tu kwani gadafi alikuwa hapendwi ushamba unao ww kubabaika tawala za kidunia labda kama ana matatizo ni sahihi kumuombea vinginevyo anatekeleza majukumu yake hakuna mtu special.
Wewe ni kati ya mafisadi yaliyokuwa yanatuibia sasa utakoma! Ulizoea vya bure fanyakazi mkuu!!
 
Unafurahia kitu gani wakati mtaletewa nguo kwa bei chafu..?? System ya biashara iko constant siku zote, ukifinya huku nafinya kule
 
Bei ya pamba inaweza kua hata elfu 3.

Tatizo liko kwa walanguzi na watu wa katikati.

Watu waliokua wamezoea kuishi kimagumashi na kiwizi wizi watafte kazi nyingine

Magufuri tunyooshe baba.
Acha kutoa povu google cotlook Index ili uelewe bei ya pamba kwenye world market ikoje ndo ulete maneno yako hapa.
 
Ndugu watanzania, kwa mara ya kwanza bei ya Pamba imegonga 1200/kg badala ya sh 800 amabyo wanunuzi walizoea kutupa wakati wa kikwete. Asante Mh Rais, naamini hata huku kwenye Korosho na Mbaazi mambo yatakuwa bora zaidi.
Hapa hakna cha maguful. Pamba mwanza mwaka huu imegoma. Ukosefu wa mvua za kutosha umesababisha zao la pamba kukaukia mashambani. Acheni kutafta kiki za ksnge. Mbna kwenye sukari mmekaa kimya?
 
Bei ya pamba imepanda kutokana na wakulima wengi wa pamba kulipa kisogo zao kwa sababu lilikuwa halina maslahi hivyo wanunuzi wamepandisha bei ili kushawishi wakulima walime si kusifia nani wala nani walimaji wa pamba wataungana na mimi
Naungana nawe mkuu.
Huyu anayesema bei imeongezeka anaweza kuelezea gharama ya kulima kilo moja ya pamba ni kiasi gani?
Nafikiri ukifanya hesabu hata hiyo bei Kwa sasa ni ongezeko la tarakimu lakini sio uhalisia.
Huwa najiuliza kwanini wakulima wa pamba wasilime mahindi?
Ukiwa nje ya uzio wa kuzalisha hakika hauwezi kuona, Hali halisi, huku kunahitaji fikra mbadala.
Bado naunga mkono walimu mahindi kuliko pamba hii, inalipa zaidi.Tunahitaji kuchora picha?
 
Wewe sio mkulima hujui hali ya hewa ya Mwanza. Pamba ni bora zaidi kuliko mahindi na huku watu waliacha kulima pamba kwa sababu ya bei. Bei iliendelea kuwa hivyo basi kilimo cha pamba kitaongezeka sana
 
Sawa mkuu hebu njoo na data za kuthibitisha kuwa unavyosema ni sawa
 
Sawa mkuu hebu njoo na data za kuthibitisha kuwa unavyosema ni sawa
Yeye mwenyewe sio mkulima data atazitoa wapi.......huyo atakuwa ni kati ya watu wanao tushawishi tumuombee BABA mwenye Nyumba ili bei ipande.
 
Back
Top Bottom