Ni kumwombea tuu mh. Raisi ili fedha zihame kutoka mikononi mwa mafidadi kuja kwa wananchi. Hizi harakati za kubana wahalifu zinazoendelea mwanzoni tutaona kama mambo ni magumu ila baadaye mambo yakianza kukaa kwenye mtari tutakuwa na fedha mpaka tushindwe kuhesabu ( MASHITABALWA) ukienda bank kutoa fedha mpaka ATM ipate moto kwa kuhesabu . Stay tuned.
Acha ushamba wee. Kiongozi huombewa maisha marefu afya njema na kutawala milele.Sikiliza huu wimbo wa Taifa wa uingereza ambao ndio ulikuwa wimbo wa koloni la Tanganyika. Fuatilia maneno yake hii ni sala kama uelewi ngeli sema tukufafanunu lie.ana matatizo gani hadi aombewe?
Acha ushamba wee. Kiongozi huombewa maisha marefu afya njema na kutawala milele.Sikiliza huu wimbo wa Taifa wa uingereza ambao ndio ulikuwa wimbo wa koloni la Tanganyika. Fuatilia maneno yake hii ni sala kama uelewi ngeli sema tukufafanunu lie.
Gadafi si ndio alituma majeshi kuja kulishambulia taifa la Mungu (Tanzania) wakati wa vita ya kagera???Mungu akiamua hata taifa lifunge siku 40 unachomoka tu kwani gadafi alikuwa hapendwi ushamba unao ww kubabaika tawala za kidunia labda kama ana matatizo ni sahihi kumuombea vinginevyo anatekeleza majukumu yake hakuna mtu special.
Gadafi si ndio alituma majeshi kuja kulishambulia taifa la Mungu (Tanzania) wakati wa vita ya kagera???
Gadafi si ndio alikuwa anaendesha mpango wa kusilimisha afrika nzima huku akijifanya anateneneza AFRICAN UNION? (ONE AFRICA WITH ONE RELIGION)
Gadafi si ndio alienda na dhihaka ardhi takatifu ya ROMA kwa kuwabebesha vitabu makahaba huku wakiwa na ujumbe wa dini fulani??
Unajua misaada ya gadafi kwa afrika ilikuwa na lengo gani??
Unajua matatizo na vikundi vinavyosumbua sasa hivi afrika vingi viliandaliwa na kulelewa na gadafi?

Tofautisha insurgence na belligerence group na makundi ya mrengo wa kidini.Hayo yote ya kidini uliyoyataja na mengine alikuwa na mkono wake wa moja kwa moja.m23 nayo ya gadafi!?????? jamii forum imekuwaje!!!!
mungiki ya kenya nayo ilikuwa ya gadaf boko haram alshabab nayo yote du
Tofautisha insurgence na belligerence group na makundi ya mrengo wa kidini.Hayo yote ya kidini uliyoyataja na mengine alikuwa na mkono wake wa moja kwa moja.
SIjasema hivyo ila hizo nchi ulizozitaja ndio kwa afrika zinaongoza kwa kuwa na vikundi vya kigaidi vyenye mrengo wa kidini ambavyo ni matokeo ya misaada waliokuwa wanaipokea kutoka kwa gadafipunguza uongo na chuki za kimagharibi makundi ya kigaidi yapo kitambo sana kwa hiyo somalia na nigeria ndo kuna wakristo wengi?
SIjasema hivyo ila hizo nchi ulizozitaja ndio kwa afrika zinaongoza kwa kuwa na vikundi vya kigaidi vyenye mrengo wa kidini ambavyo ni matokeo ya misaada waliokuwa wanaipokea kutoka kwa gadafi