sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,480
kwahiyo utamkubenea ?
Wala ladyfurahia.. Nitam-homshopingisentia na ile tindikali iliobakia kwa Kaizer..
Last edited by a moderator:
kwahiyo utamkubenea ?
heeee!!!.........okyyyyy!!!!!!
hivi bongo kuna conjugal visitation kwa wafungwa eti my ozbend?
heheheheheheehe jamani si utamdhuru wewe
heeee!!!.........okyyyyy!!!!!!
Kwani baya lipi hapa shem Mamndenyi..? Beib wangu Paloma hajafanya lolote sema ninamuangalia tu hapa Safari_ni_Safari anavyoshuka na mistari yake.. Sijaelewa nia yake ila Kaizer ameniambia kuna tindikali imebaki kidogo.. Sasa muache huyu Safari_ni_Safari aendelee na usanii wake.. Mtamsikia tu nae amepelekwa sauzi afrika huko akaungane na hom shoppin senta..
Bishanga kuimbisha mwisho utaimba mwenyewe.. Huoni Safari_ni_Safari anavyotaka kunijeruhi na lyrics zake..? Au uko upande wake wewe..?We sosoliso acha kutishia tindikali,na wewe jifundishe kuimbisha!
Wataniwekea chumba changu mwenyewe pale Keko babe.. So utakuwa na fursa ya kuja na kulala muda wowote unaojisikia..
Mke wa mtu tindikali..
Ha ha haa...............mambo kwa zamu Bwana.....I will have Paloma whether you like it or not! Kwani unahati miliki naye?
TOPPOP: Eddy Grant - My Turn To Love - YouTube