Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Safari_ni_Safari kuna siri kubwa with them "readily available married men"!!!
Kuanzia nibadilishe muonekano, basi kila binti anataka nimuonje, mi wala sio mlipaji mzurijini mahaba alishaaguliwa!!!
wewe ndo ueleze unasumbuliwa na nini, manake we u mlipaji mzuri kati ya wote!!!
Kuanzia nibadilishe muonekano, basi kila binti anataka nimuonje, mi wala sio mlipaji mzuri
![]()
Paloma acha kunibania, mi mwenyewe niko hoi kichizi kwa ladyfurahia, siku nikikutana naye ntamwambia niangusage tukiduku chako cha kichwani ndio kinawachanganya............hujajuaga?!?!?
muulize ladyfurahia kila siku ananigongea nimuunganishe kwako - sema ni vile tu nakausha!
kiduku chako cha kichwani ndio kinawachanganya............hujajuaga?!?!?
muulize ladyfurahia kila siku ananigongea nimuunganishe kwako - sema ni vile tu nakausha!
Paloma acha kunibania, mi mwenyewe niko hoi kichizi kwa ladyfurahia, siku nikikutana naye ntamwambia niangusage tu
Paloma acha kunibania, mi mwenyewe niko hoi kichizi kwa ladyfurahia, siku nikikutana naye ntamwambia niangusage tu
Hahahaa.......mimi napata Chinese fried rice hapa!
Kumbe una sauti nzuri sana ya kuitia abiria
chaaaa..........angalia usipate chinese eyes
![]()