Daud omar
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 2,460
- 987
Leo hiyo pale bodi ya mikopo ya elimu ya juu
--Unamuuliza vp mumyii.. anakuambia nimekosa mkopho, dah! yani Serekali angalieni watoto na dad zetu wazuri huko mbele watenda haribika
--Manaake kuna moja nilimkuta ni wakike na ni mwaka wa 2 sasa anafuatilia mkopo na hajapata, kauli yake moja tu ilinigusa na kunitia unyonge, nakariri.."Kaka mtoto wa kike kusoma bila hela ni hatari mnoo" mwisho wa kunukuu, hii alikua akilenga sana kwa wale ambao wazazi wao hawana uwezo, na maisha yao yote ya taalumu yanategemea serikali kama mzazi
--"Eeee.. Mungu ulie juu tusitire watoto na dada zetu hawa ili waweze kutimiza ndoto zao na wawe na maisha yao".. Mwisho wa maombi..