Palestine thanks Tanzania for support at UN

In response to news of france and UK planning to pullout their ambassador from israel protesting new settlement.
''we dont care,we are ISRAEL,this is our land a billions trillions years ago.GOD said so,AND IT IS WRITTEN IN SPRITUAL BOOKS WE WROTE.
We are israel ,how dare you say we cant do as we want?''.
 
wewe ndo mwenye mawazo ya kipumbafu.just because jesus was born in that area basi unafikiri waisrael wote ni wafuasi wake na kwamba unapaswa kuwasupport hata kama wako wrong.
YOU ARE JUST A KEYBOARD CRUSADER and no more.

Mbona unaonekana umejawa na jazba? Na upumbavu wako uko wazi kabisa tena mpumbavu haswa wewe.
1. Wapi kwenye comments zangu nimesema kuwa Wayahudi wanamfuata Yesu? You just show me
2. Napaswa kuwasupport kwa lipi? Hebu nioneshe sehemu ninayowasapoti Wayahudi.

Yaani umejawa na hasira as if kuna haki yako nimeikiuka. Kutokuwasapoti Wapalestina ndio kosa langu? Mimi nakushangaa unatoka mapovu kwa jambo lisilokuhusu. Mimi nimeingia kwenye hii mada na nilichokifanya ni kumrekebisha yule aliyetoa mstari nikimwambia kuwa si wote tunapata rehema bali ni wale tu wanaomkiri Yesu. Na kwa maana nyingine, hata kama Myahudi au Mpalestina au Mtanzania akimwamini Yesu basi atapata hiyo rehema, sasa wewe mapovu ya nini? Idiot!
 
Nchi ya Tanzania ni nchi ambayo imekombolewa na Waislam na ndio maana ktk kupiga kura ikampigia palestina ili waislam wenzake wasizid kuteseka na makafir waisrael
 

Mimi sijakikata kipande cha ya kufikisha ujumbe wangu, nimechukua kipande cha aya ambayo we both quoted (me and you). Na kukichambua baada ya kuona umeignore the first part.
Aya yenyewe ni hii

Yohana 3:16 'Kwa maana hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe wa pekee, ili kila amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele'

Wewe ukaweka bold kwenye "ili kila amuaminie asipotee" kuonesha msisitizo kwenye argument yako. Nakubali hata mimi bt pia hata kipande cha kwanza kinauzito vile vile. Kinazungumzia Upendo wa Mungu kwa wanadamu, upendo wake uliotukuka kiasi He gave out his only Son.
Argument yangu hapa ni kwamba aya haikusema jinsi Mungu alivyoipenda Israel au Wana wa Israel, noooo. Ni alivyoupenda ulimwengu, Palestines included. So watu waache kujustify uonevu wa wa israel kwa palestina kwa kumtumia Mungu, kwamba wao taifa teule
 
Iraq ipi? Hii ambayo Washia na Wasunni wanauana? Usiniambie yale mabomu wanayopigana misikitini ndio kula bata
Iraq sasa hivi imeharibiwa na wamarekani, lakini kwa karne nyingi watu wa mataifa mbalimbali wamekuwa wakiishi pamoja, na kama uteule wa taifa fulani ndiyo kigezo, basi Adam aliumbwa na kuishi Iraq. Kwa hiyo Adam siyo myahudi au? Au ADam ni Mwarabu? ... au mpersia?

Get the point?
 

The palestine/israel peace process is like 2 people negotiating over ownership of a cake while ONE OF THEM continues to EAT IT.
This abomination of a country called israel needs to get rid of its lunatics warmongering leader like Netanyahoo.
 

Kaka usichukue vifungu nusu kuhalalisha maoni yako. Aya haisemi juu ya Wayahudi, Wapalestina wala Watanzania, inawalenga wale waliomwamini. Ndio maana nikaweka msisitizo kuwa NI KWA WALE WAMWAMINIYE na si vinginevyo.

Haijalishi wewe ni nani, ili mradi tu umemwamini Yesu na kumfuata. Sasa concept ya Wapalestina nao wamo au na Watanzania nao wamo au na Wayahudi nao wamo sio sahihi. Kila mtu anafanyika kuwa mwana kwa nafsi yake peke yake haihusishi nchi wala kabila lake. Kila mtu anakiri kama nafsi binafsi kwa hiyo taifa halikupeleki popote
 

coomon PUNK, we are talking about palestine,WE AINT TALKING about jesus .whatever made you put jesus inside this thread '.I.D.I.OT?
 
Nchi ya Tanzania ni nchi ambayo imekombolewa na Waislam na ndio maana ktk kupiga kura ikampigia palestina ili waislam wenzake wasizid kuteseka na makafir waisrael

julius nyerere hakutaka kuwa na uhusiano na israel ,YOU KNOW WHY?
 

ccm wana siasa za kujikomba kwa waarabu
 

That is pathetic brother, kila tatizo ni Wamarekani, eti? Unataka kuniambia kuwa washia na wasunni tofauti zao wameanza kuziona baada ya mmarekani kuingia Iraq?

Adam kuzaliwa Iraq au Iran si issue, heri tu kwake si Myahudi
 
People don't want to believe that Israel is the Holly land granted to Israelites by the almight God. Even if people continues supporting the Palestinians, the Israelites will remain winners because their fight has a God backing. God promised Ibrahim to offer him that land. They are not there by default. They are granted by the Holly God, resisting them is resisting the Holly God. During Israle occupying that land, there were many inhabitants but all were killed by the hand of Joshua the servant of God.

Personally I don't support the Palestinians but the Israel.
 
coomon PUNK, we are talking about palestine,WE AINT TALKING about jesus .whatever made you put jesus inside this thread '.I.D.I.OT?

Shameless creature. We are talking blah blah blah, wewe na nani? Umekuta tunajadili Yohana 3:16 mimi na mtu mwingine. Kwa ulivyo Juha ukakurupuka na kuanza kuniwekea maneno mdomoni.

Ungekuwa una akili ungekaa kimya, kwa maana yale uliyokuwa unayatolea mapovu mimi sikuyasema. Ila kwa kuwa mtu mpumbavu hachukuagi juhudi ya kubadili njia zake, bado unabishana ujinga.

Nimekupa kazi ndogo tu ya kuthibitisha tuhuma zako, umerukia kwingine. We onyesha hiyo sehemu niliyosema hayo unayonishutumu kwayo na sio kuleta blah blah hapa, otherwise piga kimya.
 
Waafrika waidai NORTH AFRICA iliyovamiwa na Waarabu enzi za kusambaza dini, mfano mafarao wote wa Misri walikwa Weusi Ancient world super power was black
 

those books you guote where just written to justify zion agenda.you have to use your reosoning and logic to come to conclusion instead of beliaving everything.
Israel is powerfull because it is getting support from american.
As far as i understand Obama is not God.
 
Is this an international cum diplomatic debate or rather a religious discourse of JF esteemed clerics? Manake Naskia tu makafiri, mayahudi, maislamu, makristu, manini, jamani khaaa.
 
ha haa ha...

Amekufurahisha sana mke mwenzio eeh! Kawaida, kwenye jamii ya watu wajinga upumbavu ukiandikwa kwa kiingereza huwa hekima yenye kufurahisha.

Akili kama hizi ndio zimefanya mkatapeliwa milioni 200 na mwarabu sasa mnaishia kusoma al-badili
 

Hayo mataifa 100 yaliounga mkono taja ambalo halina ushoga
 

hahahaaaaa.we are talking about palestine if you want to preach about jesus go to any church.
You cant force us to be your audience.
The problem with you Biblethumper is that you think you can use any oppotunity to try and shove your beliave to people.
And if someone talkback agaisnt you ,you began overreacting.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…