since when walikuwa wamelaa. Hivi ccm ilisha wai lala zenji? Anyways, i have no time to discuss bongo politics. It is pathetic. Tatizo ni pale bongo mnapopigia debe hamas? That is insane.
Mwenyewe umeandika mstari na bado huuelewi. Labda nikuwekee kwa kiswahili uuelewe vyema
Yohana 3:16 'Kwa maana hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe wa pekee, ili kila amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele'
Zingatia bold kwenye comment yako na masasahihisho niliyokuwekea. Si WOTE bali wale wamwaminie. Kama kuna Mpalestina anamwamini, then Yes. Kama anaamini katika kurusha maroketi, then NO. Kama kuna Mtanzania anamwamini, Big Yes, kama anaamini katika kuchoma makanisa, then NO.
Hata Marehemu Mohammed akimkiri Yesu ya kwamba ni bwana na mwokozi basi naye atafanyika kuwa mwana
Israel ni nchi Takatifu Taifa lenye nguvu na Teule. Ardhi yake iliporwa na sasa inarejeshwa polepole...someni Biblia nyie viongozi dhaifu wa kutoa matamko ya kuunga mkono msichokijua...hata sasa mnakubali kuwa vipofu na viziwi? haiwezekani.
Hebu rudi kwenye kiswahili labda akili yako itakaa sawa. Sodoma na Gomora ni sehemu ndogo ya ardhi ya Kaanan kwenye uwanda wa chini wa mto Jordan na si kwamba ni Israel nzima.
Ndio Tanzania haikukuwepo, ilikuwepo Tanganyika, Nyitu, Unknown e.t.c lkn occupants wake ndio sisi sisi. Next time sema Holy Bible sio holy books, hicho kitabu kingine sio holy
Yohana 3:16 , sip'Kwa maana hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe wa pekee,
Don't forget the Jews reported Jesus to the Romans....and you know what happen after that!
Ndugu yangu, I am not a believer. For me the Palestinian/Israeli conflict is a humanitarian issue. One group is imprisoning the other group. You cannot deny that, and if you do there is something wrong with you. Ask yourself how did the Palestinian end up in a refugee camps, in Gaza where they have no freedom of movement? doesn't that even pain you as a human being?
I mean you don't think that the Palestinians are living in a big prison camp?
Mi naona unasahau na kipande hiki cha kwanza pia. Ukombozi huu ulikuja kutokana na hiko cha kwanza. "Mungu aliupenda ulimwengu, aliwapenda watu wake, creation yake" ndo point yangu i wanted to make.
Watu wanaotumia kigezo cha Israel kuwa taifa la teule na unyanyasaji kwa wapalestina.
Hata kama wapalestina hawamwamini Yesu na hawamkiri kuwa ni Kristu Masiha, Jesus would have never approved kunyanyaswa kwao in the name of agano la Baba yake na Abraham.
And anywai arent Jews watu wakwanza kumakana Yesu tena mpka leo, they even demanded his crucifixion?
Huwezi kutetea Israel based on substance.
Hivi nchi kama Iraq na Syria, hata Egypt mbona mataifa mbalimbali yanaishi pamoja?
Iraq imetajwa mara nyingi kwenye biblia kushinda Israel, na kuna watu wa mataifa mengi Iraq.
Sasa, kwanini hawa watu wasikae pamoja wakala bata? .... mambo ya mtume na Yesu are so medieval, they weren't even meant to bring beef, so if you cant live 2gether fk it, have two countries that respect each other.
Thanx Membe, you represented my view, by Membe I mean as the head of Tanzania diplomacy
I call BS on every spiritual book written in Hebrew.
Lakini waisrael hawamkiri huyo yesu wako nao sijui unawaweka kundi gani.
Kwahiyo ukimkiri yesu kama hao kina Bush ,halafu ukaua watu milioni moja kwa mabomu wewe unapata uzima wa milele?na hao uliowaua wanakua honored .?
.. and what will you do with the Black Sheep syndrome "Palestinians" who are using minors and women to fight for the cause of Allah? Love them or rebuke the evil? Don't you know that even Allah never mentioned them in the Holy Qu'ran? Don't you know Allah mentioned Israel!! in the Holy Qu'ran. How hard is it for mankind to miss that?
Huu ndio nauita ubishi wa kipumbavu. Sijui ni wapi nimesema kuwa Wayahudi wamemkiri Yesu. Kumkiri Yesu si kwa mdomo, kwani walio wake wanafahamika kwa matendo yao. Kama unajua Bush ni muuaji basi huna haja ya kuniuliza.
"Itakae ilaani taifa la Israel na atalaaniwa!"
Katika category ambayo tulimek blunder ilikua kuji di-associate na Israel.. Hata wajerumani wenyewe waliresolve na wale watu. Tanzania kupitia viongozi wetu tumekua genge la wanafiki na wazandiki...mauaji kibao yanatokea nchini hatuchukui hatua ya kukomesha mf Mwangosi kapigwa risasi ushahidi upo wazii sijamsikia rais akizungumzia wala kulaani aina ya mauaji yanayofanywa na jeshi la police, mauaji ya vikongwe, ajali za barabarani, vifo vinavyotokana na huduma mbovu ya afya! Wazungu wanasema always charity biggins at home! Sisemi serikali isilaani mauaji yanayoendelea midle east but serikali yetu inatetea upande mmoja na kila siku wanawatetea wapalestine, that is not right..Palestinian wana wanapokosea,waisrael pia.. Tanzania isifungamane na nchi moja. Ni tabia chafu..nyerere alifanya yake..mazuri na mabaya..tatizo la serikali ya ccm badala ya kuchukua yale mazuri ya nyerere na kuyaendeleza, wao wanachukua yale mabaya ya nyerere na kuyaendeleza mf (kudeclare wazi kua tanzania kutokua mshirika na israel...)