Palestine thanks Tanzania for support at UN

 
.
You're very right sir. I also salute your contribution on this tread, BIG UP!!
.

thanks kiby.peace to all who not only proclaim to be right,but also are willing to strengthen their faith by finding its very meaning through subjecting it into test.
 
 
 
 
Sisi tunajua mataifa yote yataigeuka Israel, hata hao wamarekani wataigeuka! Hapo waarabu watafurahia wakifikiri wamefanikiwa na kupata ushindi! Lkn hiyo ni kama vile shetani na wapinzani wa Yehoshua walivyofurahia kifo chake bila kujua kuwa kwa mateso na kifo chake ndo kazi ya ukombozi ilikuwa imeshika kasi kwa kishindo. Mnaoilaani Israel endeleeni kwa bidii maana mnaharakisha kutimia kwa unabii. Ninaibariki Israel kwa jina kuu la Yehoshua Masihi, Amen.
 

Safi sana mkuu, napata faraja kuchambua neno la Kristo namna hii. Its for spiritual edification you know n thats great.
Kumbe kuumega mkate wa neno sio mpaka mtu uende fellowship.

Kumbe hapa mimi na wewe hatuna cha kubishana mkuu, ila kuna maeneo nataka twende sawa:

Kwanza wote tunakubaliana kwamba Israel haijakoma kuwa taifa teule la Mungu...na hivyo yote niliiyoorodhesha kuhusu taifa la Israel katika maandiko hayajabadilika. Sasa hapa napenda tena kujua msimamo wako katika mataifa mawili, Israel na Palestina wewe unaona unaegemea upande gani?...na Je, uko tayari kupokea laana kutoka kwa Mungu kwa ww kusimamia humanitarian issues rather than the words and warnings of God kwa kulaani Israel dhidi ya Palestina?

Ni kweli kwamba Mungu aliahidi kuleta ukombozi wa wanadamu wote kwa njia ya Kristo ila mlango wa kupitia ulikuwa Taifa la Israel (Kama hutoona uvivu basi napenda tuzame ndani zaidi).

1. Umewahi kusoma injili ya Yohana? "...alikuja kwa walio wake (Jews) ila hawakumpokea; Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika kuwa wana wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake (John 1:11-12). Nini kinajiumba akilini kwako unaposoma maandiko haya?

2. Umewahi kufikiri Jews wangempokea ni nini kingetokea? Je, kungekuwa na haja ya ujumbe huu kupelekwa kwa mataifa? (Angalia Yesu anapofananisha Ufalme wa Mungu na mtu aliyeandaa karamu kubwa).

Yesu anaposema si vema kumtupia mbwa chakula cha wanae...hapa tafsiri yako ikoje? Umewahi kusoma popote katika agano la kale unabii juu ya kanisa?...Kwa nini Mungu hakuwafunulia manabii juu ya kundi hili muhimu?

Umewahi kufikiri ni kwa nini Mungu kwa makusudi aliamua kuwafanya Israel kichwa ngumu? (Isaya 6: 9-13).

Ukiweza kupata ufumbuzi wa maswali haya utajua nini maana yangu ninaposema Israel ni Taifa la Mungu na sisi kama kanisa ni waalikwa baada ya wenye kadi halisi za sherehe (Jews) kutoa udhuru wa kutohudhuria karamu.

Na ndio maana ukiangalia majuma saba ya Unabii hutaona unabii juu ya kanisa. Kwa sababu Kipindi hiki kinaitwa " Time of refreshing and restoration of all things'' including wale mataifa waliopo katika maono ya Peter katika nukuu yako (and the voice came to him again...."What god has made clean, do not call common''.). Kwa maana nyingine Mungu ameweka mkato (,) kati ya juma la sita la unabii na juma la saba halafu kanisa likaingia hapo katikati. Usidhani Yesu alikuwa hajui kwamba Israel watamkataa, ila kwa nini alikuja kwao?..Kwa nini asiende Rumi kwanza?...jibu ni moja "Ili kutimiza unabii.

Sasa wewe na mimi tunajua kwamba Yesu alitabiriwa kama Messiah kwa Taifa la Israel. Unajua kwa nini Israel. Mara baada ya kukataliwa Neema ukapelekwa kwa mataifa. Halafu una maan gani unaposema Israel is no longer a center stage of Imani?...hujasoma maelekezo ya Yesu kwamba kwa mtini jifunzeni?

Wewe unafikiri ni kwa nini Yesu atashuka physically kupambana na majeshi ya anti-christ na kujilipiza kisasi kwa watu wake Israel kama Mungu is no longer the God of Israelites?...Unaposema no longer, una maanisha no more sio? Kwanini usitumie neno temporarily...kwa sbb wote tunajua ipo siku iliyotajwa ambayo Israel watamkubali na kuliitia jina la bwana.

Rejea paragraph yangu ya mwisho hapo uliponikoti....kwamba unakubaliana na mimi kuwa Yesu alikuja kuitimiza torati na kuweka ukomo katika matendo ya sheria za Mussa kwa kutufia msalabani.

Labda niwe clear zaidi: Mimi naelewa kwamba sisi ni kanisa la kristo, ni mwili wa kristo. Damu ya Yesu umetununua kuwa wafalme na makuhani (hapa tunarithi agano kati ya Mungu na nyumba ya haruna kuhani: agano la chumvi), tumefanyika kuwa wana wa Mungu kwa njia ya Kristo Yesu. Tumepewa mualiko kuhudhuria karamu ya mwana kondoo, tena si kwa ahadi tu ila kwa Neema. LAKINI kupewa kwetu mualiko hakuondoi uteule wa Israel.

Tuko pamoja kwamba Mungu ni wetu sote sio wa Israel pekee, na sote tuko sawa mbele za Mungu, ila tu usawa unakuja pale tunapomkubali na kumpokea Kristo...usiniambie nje ya damu ya Yesu (wokovu) kuna usawa kati yako na myahudi.
 
Reactions: Ame
 
It is religious since huyo Muislam kesha sema anaonewa na umemwita Muislam, hukusema Mwarabu au Mpalestina ua Mpashia. Je, unaweza kuzungumzia Muislam na kumwita hivyo bila ya kuwa dini?

Haiwezi kuwa mgogoro wa kidini kwasababu they are not fighting over holy land au over a place of worship. Wanagombania ardhi na kutaka kuestablish permanent residence and ownership of the place.

Soma vizuri maandishi yangu nimesema Large population of Palestines ni Muslims and Arabs. Sasa watu wapembeni Iran,jordan,syria et al wanauingila moja ya sababu kuu because wanaona waarabu na waislam wenzao wanaonewa. Na tayari wanajenga chuki na Jews na kuwabrand Muslims persecutors.

Kutokana kuwa one of the high profile conflit na wa mda mrefu in our time. Kila mtu anauona kwa njia yake na mostly wakiuona kama conflict kati ya Muslims and Jews over the Holy Land. But the core and root ya this conflict sio dini wala udini.
 
Israel anachopigania sii dini bali mipaka ya nchi yake. Mbona ndani ya ardhi ya israel kuna watu wa kila dini na wana uhuru wa ibada kwa mungu? Ushahidi ni nyumba za ibaada zilizopo mle miongoni mwazo ni masinagogy, makanisa na misikiti.
Hivyo kwa wengi wanaoitetea Israel, wanaitetea kama taifa na wala sii kama dini yao. Kinachojitokeza kama chuki miongoni mwa wanaopingana na ambacho hakiwezi kukomeshwa hadi ukamilifu wa dahari ni uadui kati ya allah dhidi ya Yehova(YAHU).
.
 
 
1/2man1/2amazin, naona kama vile maelezo yako yanamweka Mungu katika nafasi ya kujiongezea maarifa. Kwamba kile kinachoendelea katika uumbaji wake hakukijua toka mwanzo na hivyo pindi jambo linapotokea ndipo na yeye hulipokea kwa mshangao kama tufanyavyo sisi wanadamu. Bwana Yesu hakuja duniani kuteseka ili watu watakavyoona mateso yake wamkubali kwa kumhurumia. La hasha; yeye alikuja kuwakomboa wale walio wake na aliwaona kabla ya misingi ya ulimwengu na idadi yao anayo hata yule wa mwisho atakaye ingia. Hivyo suala la wokovu kwa binadamu lipo katika Program yake na plan ya hilo kusudi lake ipo hata kabla ya sisi kutungwa mimba. Israel toka kale amewatumia kama taifa likitoa somo kwa mataifa mengini na ndio maana ujumbe wa malaika Gabriel alimpelekea Daniel ujumbe wa wao kama wayahudi kumhubiri Mungu kwa majuma 70 ambapo kimsingi kila juma ni miaka saba. Ujumbe ule ulikuwa mahsusi kwa Daniel na watu wake wayahudi na mji wao Yerusalemu. Na kama unabii ule ulivyosema ni kwamba miaka ile ingelianza kuhesabiwa mara tu ya amri kutolewa wayahudi kurudi kwao kulijenga upya hekalu la Suleiman. Daniel 9. Kulikuwa na majuma saba ya mwanzo hadi hekalu kukamilika na ililenga shabaha kabisa. Na majuma 62 hata zamani za masihi aliye mkuu yaani Yesu na ikawa hivyo kabisa. Kipindi kingine ni lile juma la sabini ambapo maandiko yanasema katikati ya juma lile yaani miaka 3 na nusu ataikomesha sadaka na dhabihu yaani kuuawa kwa Yesu.zingatia hili kwamba huduma ya Yesu ilikuwa ni ya miaka mitatu na nusu. Hivyo nusu ya hili juma la mwisho imebaki kwa kuwa wokovu ulipelekwa mataifan walipomkataa masihi hata ukamilifu wa mataifa utakapo wadiaI. Israel watakamilisha hii nusu juma ya lile juma la mwisho la majuma sabini ya daniel kwa huduma ya ile mizeituni miwili ya ufunuo 11. Kipindi hiki kitakuwa ni dhiki kuu kwa mataifa. Huwezi kulifanya neno la Mungu litoke katika plan yake. Sisi mataifa hatukupewa mda ila tuliambiwa tujifunze kwa Israel kwamba kizazi kile kitakachoshuhudia wakirudi kutoka kote huko walikofukuziwa kurudi ktk nchi ya wenyeji wao, hakitapita hata yale yote yaliyotabiriwa na manabii yametimizwa.
Kwa habari za Mungu kutenda katika Roho ni sawa lakini madhihirisho ya kile kinachofanyika katika roho hudhihirishwa katika ulimwengu wa mwili. Jaribu kutafakari ahadi ya kufufuliwa; kwanini kufufuliwa ikiwa ya kwamba tulipaswa kuishi kama roho?
.
 

Isome tena biblia yako.....Jesus fights even physically only the design of his fight is superior to our old ways....While Jesus fight using spirit to defeat body (Physical) most fight using brains and some using their bodies (Physical)....Marekani ana nguvu kwasababu ya technology yake ambaye ni manifestation ya kiasi cha ungunduzi na siyo kuwa kasababu inawatu wengi ama silaha nyingi....Quality (Result of brain)....Jesus uses a superior weapon spirit to fight and this strengths zina manifest in physical world..Ndiyo kusema mfano Pharaho alikuwa na better technology na army..chariots and arms lakini waisrael walikuwa wanaongozwa na holy spirit...Lakini holy spirit akiwa na sophysticated technology ambayo binadamu mpaka leo hawajaigundua akapasua bahari ya Sham and Israelites went as if it were a dry ground na Egyptians walipotaka kuvuka they where all drawned into the sea....So siyo kwamba Mungu haku fight physically he did ila technology yake ilikuwa by far superior to that of the human brain; na ndivyo itakavyokuwa kwa ile vita ya mwisho..Israel wataipiga dunia kwa technology ambayo ni beyond human imagination. Na kila mtu ataona with a physical eye defeat kwa wale wote walio against Israel...
 

.
What a blessed sweet fact. 'U said it all mkuu.
.
 
Reactions: Ame
I am not in support of Israel simply because they once claimed or stated Tanzania to be Irrelevant to them the comapre of tripolitania and Mauritania!
 


John 2:15 says, “Do not
love the world nor the things in the world. If anyone
loves the world, the love of the Father is not in
him.”

If you were of the world, the world would love its own; but because you are not of the world, but I chose you out of the world, because of this the
world hates you.” John 15:19

"I have given them Your word; and the world has hated them, because they are not of the world,
even as I am not of the world.” John 17:14

"For God did not send the Son into the world to judge the world, but that the world might be saved through him. He who believes in him is not judged; he who does not believe has been judged already, because he has not believed in the name of the only begotten Son of God. This is the judgment, that the Light has come into the world, and men loved the darkness rather than
the Light, for their deeds were evil.” (John 3:17-19)

And He says
"My Kingdom is not an earthly kingdom. If it were, my followers would fight to keep me from being handed over to the Jewish leaders. But my Kingdom is not of this world."

Mifano yote inakuonesha kuwa Jesus has never been interested in physical and Perishable stuff (ardhi,vitu vya dunia hii, uongozi wa dunia hii or utukufu wa dunia hii) He doesnt need to come to fight physically anyone in this world kwaajili ya kurestore the Glory ya Israel hata christians.
Nasema tena i am so so certain.

Nakuomba tuendelee kumuomba Yesu atujaze Roho wake Mtakatifu atufunilie na kutu enlighten kuweza kuyaelewa vizuri mafindisho yake na hizo habari za siku ya Mwisho
 
Kwa habari za Mungu kutenda katika Roho ni sawa lakini madhihirisho ya kile kinachofanyika katika roho hudhihirishwa katika ulimwengu wa mwili. Jaribu kutafakari ahadi ya kufufuliwa; kwanini kufufuliwa ikiwa ya kwamba tulipaswa kuishi kama roho?
.

Kwani wewe unaelewa vipi kuhusu kufufuka?

Kwani Yesu alivyokufa msalabani baada ya pale what happened to his body and spirit exactly?
 
 
For real i support israel and not palestine,and jerusalem belongs to israel


I am not among them who support Palestines. Please take note on that. My stand till death is support towards holy land Israel, and Jerusalem holy city. Let the history record my stand.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…