Palestine thanks Tanzania for support at UN

Palestine thanks Tanzania for support at UN

Labda tuanze kuangalia mwanzo wa Jina Palestina ndipo tutaelewa nani alikuwa wapi na wakati gani.

Jina "Palestina" lilianzishwa rasmi katika kipindi cha 138AD, miaka mitatu baada ya ukandamizaji wa Rumi kwa Bar Kochba. Lakini ifahamike kuwa, kabla ya hapo kulikuwa na Falme ya Israel ambayo ilikuwa na Wafalme mbali mbali ikiwa pamoja na Daudi, Solomoni, Hezekhia, na wengine wengi.

Bado hujanieleza, unamaanisha nini uliposema kuwa "Waisrael walikuwepo hapo"? Utakapo tueleza kiundani walikuwepo hapo tokea lini, basi utakuwa umeuelezea ummah wote kuwa mwenye haki na hiyo ardhi ni "Israel ilio kuwepo hapo".

I am happy to hear that sasa unakubali bila kupinga kwamba Waisrael Hebrews to exact, ndo walikuea kwao. Lakini bado hutuelezi ni wapi hawa Palestina walitokea na mwanzo wa jina la Palestina, ili kupunguza maswali tata.

Ili kupunguza utata, ningependekeza tuzungumzie kuhusu hii ardhi kabla ya Kuzaliwa Yesu (BC), ni nani alikuwa mwenye haki na hiyo ardhi, na hiyo haki alipewa na nani.

Watakabahu

jina palestina liliwekwa hapo na utawala wa rumi .ni jina tu kama ilivyo Tanzania.sasa haina maana eti kwa sababu ilikua tanganyika leo wanaiita Tanzania basi raia wa tanganyika wanakuwa ndo hawapo.yanabadilika majina lakni raia wanabaki palepale.kwani kabla wajerumani hawajaiita hii nchi tanganyika ilikua inaitwaje.
Pia wapalestina wa leo ni mchanganyiko wa maangiliano ya wacaanan ambao ndo wenyeji wa hapo na walebanon na wajoridan.
Hakuna historic evidence inayoonyesha kwamba wapalestina walifunga safari toka kokote walikokua kuja hapo caanan.
Hivyo utetezi wa eti hakuna palestina kwenye vitabu vya dini ni groundless.
SWALI NI NANI ALIKUA MWENYEJI WA MWANZO PALE.
Read your bible from.
IN THE BEGINING.
 
Kwahiyo waarabu wa palestina (au wapalestina) ndo Descendants wa wakanani?

Swali hili niko curious tu
Kwakuwa waafrika hatukushirikishwa kwenye Berlin coference, je mipaka iliyowekwa ina gani?

Nadhani Kulishawahi kuwa na mjadala huu zamani kama sikosei Mwanakijiji alikuwa ameanzisha sinakumbuku vizuri

lakni kuna mix na jamii nyingine mfano mwarabu wa lebanon hawezi akawa sawa na wa saudi lazima kuna utofauti ni sawa na ulinganishe mtanzania na mcongo,mkenya,mnaigeria e. .c.
Na hata hao waisrael wa leo si sawa na wa enzi za kina jacob.
Hawa waleo ni wazungu wameingiliana na mataifa ya ulaya.
 
jina palestina liliwekwa hapo na utawala wa rumi .ni jina tu kama ilivyo Tanzania.sasa haina maana eti kwa sababu ilikua tanganyika leo wanaiita Tanzania basi raia wa tanganyika wanakuwa ndo hawapo.yanabadilika majina lakni raia wanabaki palepale.kwani kabla wajerumani hawajaiita hii nchi tanganyika ilikua inaitwaje.
Pia wapalestina wa leo ni mchanganyiko wa maangiliano ya wacaanan ambao ndo wenyeji wa hapo na walebanon na wajoridan.
Hakuna historic evidence inayoonyesha kwamba wapalestina walifunga safari toka kokote walikokua kuja hapo caanan.
Hivyo utetezi wa eti hakuna palestina kwenye vitabu vya dini ni groundless.
SWALI NI NANI ALIKUA MWENYEJI WA MWANZO PALE.
Read your bible from.
IN THE BEGINING.

elungata umeelimishwa sana ktk post zilizopita.umeshaambiwa hakuna connection kati ya wapalestina na wakanaani.ushapewa evidence zinazoonyesha modern palestinian people ni walowezi waliokuja hapo wakati wa roman and muslim invasion na wakati wayahudi waliporudi na kupaendeleza hapo.ukaelekezwa kwa mifano ya watu kama arafat ambao si wapalestina kabisa lkn ndio baba wa taifa wa palestina leo.unataka nini tena?dah,mie nakushukuru kwa mjadala wetu mzuri bwana.naomba tuishie hapa.endelea na akina mkwawa.ila beware of disinformation and PALESTINIAN AUTHORITY POLICY!
 
Safi sana mkuu, napata faraja kuchambua neno la Kristo namna hii. Its for spiritual edification you know n thats great.
Kumbe kuumega mkate wa neno sio mpaka mtu uende fellowship.

Kumbe hapa mimi na wewe hatuna cha kubishana mkuu, ila kuna maeneo nataka twende sawa:

Kwanza wote tunakubaliana kwamba Israel haijakoma kuwa taifa teule la Mungu...na hivyo yote niliiyoorodhesha kuhusu taifa la Israel katika maandiko hayajabadilika. Sasa hapa napenda tena kujua msimamo wako katika mataifa mawili, Israel na Palestina wewe unaona unaegemea upande gani?...na Je, uko tayari kupokea laana kutoka kwa Mungu kwa ww kusimamia humanitarian issues rather than the words and warnings of God kwa kulaani Israel dhidi ya Palestina?

Ni kweli kwamba Mungu aliahidi kuleta ukombozi wa wanadamu wote kwa njia ya Kristo ila mlango wa kupitia ulikuwa Taifa la Israel (Kama hutoona uvivu basi napenda tuzame ndani zaidi).

1. Umewahi kusoma injili ya Yohana? "...alikuja kwa walio wake (Jews) ila hawakumpokea; Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika kuwa wana wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake (John 1:11-12). Nini kinajiumba akilini kwako unaposoma maandiko haya?

2. Umewahi kufikiri Jews wangempokea ni nini kingetokea? Je, kungekuwa na haja ya ujumbe huu kupelekwa kwa mataifa? (Angalia Yesu anapofananisha Ufalme wa Mungu na mtu aliyeandaa karamu kubwa).

Yesu anaposema si vema kumtupia mbwa chakula cha wanae...hapa tafsiri yako ikoje? Umewahi kusoma popote katika agano la kale unabii juu ya kanisa?...Kwa nini Mungu hakuwafunulia manabii juu ya kundi hili muhimu?

Umewahi kufikiri ni kwa nini Mungu kwa makusudi aliamua kuwafanya Israel kichwa ngumu? (Isaya 6: 9-13).

Ukiweza kupata ufumbuzi wa maswali haya utajua nini maana yangu ninaposema Israel ni Taifa la Mungu na sisi kama kanisa ni waalikwa baada ya wenye kadi halisi za sherehe (Jews) kutoa udhuru wa kutohudhuria karamu.

Na ndio maana ukiangalia majuma saba ya Unabii hutaona unabii juu ya kanisa. Kwa sababu Kipindi hiki kinaitwa " Time of refreshing and restoration of all things'' including wale mataifa waliopo katika maono ya Peter katika nukuu yako (and the voice came to him again...."What god has made clean, do not call common''.). Kwa maana nyingine Mungu ameweka mkato (,) kati ya juma la sita la unabii na juma la saba halafu kanisa likaingia hapo katikati. Usidhani Yesu alikuwa hajui kwamba Israel watamkataa, ila kwa nini alikuja kwao?..Kwa nini asiende Rumi kwanza?...jibu ni moja "Ili kutimiza unabii.

Sasa wewe na mimi tunajua kwamba Yesu alitabiriwa kama Messiah kwa Taifa la Israel. Unajua kwa nini Israel. Mara baada ya kukataliwa Neema ukapelekwa kwa mataifa. Halafu una maan gani unaposema Israel is no longer a center stage of Imani?...hujasoma maelekezo ya Yesu kwamba kwa mtini jifunzeni?

Wewe unafikiri ni kwa nini Yesu atashuka physically kupambana na majeshi ya anti-christ na kujilipiza kisasi kwa watu wake Israel kama Mungu is no longer the God of Israelites?...Unaposema no longer, una maanisha no more sio? Kwanini usitumie neno temporarily...kwa sbb wote tunajua ipo siku iliyotajwa ambayo Israel watamkubali na kuliitia jina la bwana.

Rejea paragraph yangu ya mwisho hapo uliponikoti....kwamba unakubaliana na mimi kuwa Yesu alikuja kuitimiza torati na kuweka ukomo katika matendo ya sheria za Mussa kwa kutufia msalabani.

Labda niwe clear zaidi: Mimi naelewa kwamba sisi ni kanisa la kristo, ni mwili wa kristo. Damu ya Yesu umetununua kuwa wafalme na makuhani (hapa tunarithi agano kati ya Mungu na nyumba ya haruna kuhani: agano la chumvi), tumefanyika kuwa wana wa Mungu kwa njia ya Kristo Yesu. Tumepewa mualiko kuhudhuria karamu ya mwana kondoo, tena si kwa ahadi tu ila kwa Neema. LAKINI kupewa kwetu mualiko hakuondoi uteule wa Israel.

Tuko pamoja kwamba Mungu ni wetu sote sio wa Israel pekee, na sote tuko sawa mbele za Mungu, ila tu usawa unakuja pale tunapomkubali na kumpokea Kristo...usiniambie nje ya damu ya Yesu (wokovu) kuna usawa kati yako na myahudi.

Ninajifunza kuwa, kanisa linaendelea kupata revelation mpaka wote tufikie kile kiwango cha full stature ndipo tutakuja katika imani moja...Kwa sasa bado kristo hajakuwa revealed katika umbo lake halisi kwa wote wanao liamini jina lake....Barikiwa na bwana kwa kuweza kuwaleta kondoo wa bwana katika level nyingine ya ufahamu....
 
USA is against the building of settlements because it may affect the peace negotiation efforts between the two states.
But USA has never supported the the so called Palestinian struggles for sovereignty. Remember last year USA veto
against recognition of the state of Palestine by the UN?...USA knows what Israel means when it comes to blessings and
human prosperity. N the US prosperity is centered in the support for Israel physically and spiritually.

Personally I will never support the Palestinians in expense of Israel. My body and spirit is with Israel because Testaments and
promises of God to me as a christian are tied with Israel. As THE GREAT CAMP said and so do I, "let the history record my stand".
I am also adding my name in the list. Let the history record my stand that I will always support Israel as the only path where God's blessings get through on the way to me.
 
palestina identify themselves as arabs but they are probably of mixed CAANANITE,PHILISTINE ,And peninsula arabs anctestry.
IBRAHIMU ndo alikua baba wa wayahudi aka waebrania na waarabu.
Ibrahim alikua akiishi UR..sehemu ambayo leo inaitwa irag.
Ibrahim alihama Ur Akahamia NCHI YA CAANAN.huko aliwakuta wenyeji wa caanan na akaishi nao miaka na miaka.
Kulitokea nje,baadi ya uzao wake ambao baadae walikuja kujulikana kama wayahudi walikimbilia egypt.
Walipotoka huko ndo wakaja nchi ya caanani wakaua na kuteketeza waliowakuta na kujitwalia ardhi wakidai wamepewa na munguwao.
Kwahiyo wenyeji wamwanzo hapo ni WaCAANAN.ambao asilia yao humo wametoka wapalestina,na walebanon.
WAHAMITE ni wajordan ndoo maana hadi leo jordan inajulikana pia kama HAMITE KINGDOM.
Unamatizo sana wewe
 
Not only Tanzania,even USA supports Palestine! Havent you heard that USA has blamed Israel for starting building 3000 setlements in Gaza recently!. Dont play with international politics!. Sometimes what you see is not what you get!
Nope, try again
 
In response to news of france and UK planning to pullout their ambassador from israel protesting new settlement.
''we dont care,we are ISRAEL,this is our land a billions trillions years ago.GOD said so,AND IT IS WRITTEN IN SPRITUAL BOOKS WE WROTE.
We are israel ,how dare you say we cant do as we want?''.
Acha kudanganya watu kijana.
 
What history you talking about? Did you meant to say palestine not stated in holy books? Did you know that the land of Israel was turned upside down because of their homosexual activities? Btw i see no Tanzania in history!

homosexual it took place during sodoma n gomorra, and forestance,it was not in israel.
Just be faithful on your word,you trying to change the history?
 
notradamme Nyerere ni mkatoliki! I thnk alifanya vile bcz haijui Biblia inasemaje kuhusu taifa la Israeli. Au alikua n political agenda!

nyerere aliwasapoti,palestina kwa sababu moja tu.
Zote zilikuwa nchi za kijamaa
na israel alikuwa capitalism
 
Last edited by a moderator:
I am not among them who support Palestines. Please take note on that. My stand till death is support towards holy land Israel, and Jerusalem holy city. Let the history record my stand.

Me either,am not with the palestine,israel is my home spiritually,and should support them with all my heart
 
'''''The oldest history of homosexual activities is associated with the cities of sodom and gomorrah which can be traced in present day JORDAN and not in ISRAEL, if there is any land that was turned upside down because of homosexuality then surely that land should be Jordan.

You should be aware that the first leader of Palestine was Yasser Arafat, a citizen of Egypt by birth and before him going back as far as to the time of creation, there had never been a King, ruler, queen or a leader of any sort of Palestine, but the history is rich of roots of the children of Israel in that land, history acknowledges their kings and prophets, their cities and what happened to them. Those who seek to uproot the children of Israel from their ancestry land are making serious mistake and are offending the one who swore to their forefathers that he will give the land to their descendants'''''''

i dont get you on which land are you talking about, go back to BELFOUR DECLARATION and then go and read the speech from BEN GURION(first PM of israel nation).. tatizo watu mmeshaingiza udini panapotakiwa mawazo huru.... jiulize!!!! kwa nini baba wa taifa hayati JK NYERERE hakuwahi kuwaunga mkono wa israel na alikuwa ni rafiki wa karibu sana wa palestine pamoja na arafat????? nina hakika NYERERE alikuwa na imani zaidi yako na ni muumini mzuri wa kikatoliki kuliko wewe lakini tofauti yake na wewe na kwamba '' hakukubali akili yake iongozwe na mapenzi/chuki na hakukubali imani yake ipuuze ukweli na haki''' kwa mwenye akili timamu yeyote... mungu hukaa upande wa wanyonge na huchukia ukandamizaji.. na kama kweli wanayofanya waisarael yana mkono wa mungu!!!! basi huyo mungu sio mungu wa isaka wala wa yakobo bali ni mungu aliyechakachuliwa and i dont need him cause he cant save me

Ujui ulisemalo au uliloliandika soma neno tena na tena
 
Huwa nawashangaa Christians wanao sahau maneno haya.

John 3:16
"For God so loved the world that he gave his one and only Son, that whoever believes in him shall not perish but have eternal life.

Israel might be a chosen Nation but we are all Gods beloved Children and made in his image(that includes Palestines).

God made the everlasting covenant with Abraham,kuja kwa Yesu hakujavunja agano hilo.
 
WaAfrika lazma tuna kalaana. Sielewi inakueje vitabu viandikwe na watu wengine kwa ajili yao halafu sisi tunavi adapt na hadi kuuana kwa sababu hio.
Na sijui ni wangapi wanajua kwamba many Jews are NOT Christians. Sasa mtu anesupport Jews bila logical reasoning bali kusema eti ni Taifa teulenashangaa sana! Judaism doesnt believe in the second coming of Christ kwasbabu they dont believe in the first coming.
Tulipotoka sana tulivyoacha kuomba kwa Milima,mito na mizimu yetu ya mababu. Tungekuka mbali sana!

Hakika umepotoka sana ulipokoma kijifunza zaidi na kujua zaidi,Mungu alifanya agano la umilele na Abraham,no matter what wao bado ni chosen people.ila ukifika mbinguni nisaidie kumuuliza mungu kwa nini uliwapendelea sana uzao wa ibrahimu na uliotokana na Isaka na sio ismail,japo Yesu alikuja kuwainganisha upya.
 
I am not among them who support Palestines in or by any cost. Please take note on that. My stand till death and return of Jesus is support Israel towards holy land Israel, and Jerusalem holy city. Let the history record my stand
 
Israel has the right to defend itself against Hamas terrorism. Sipendi kuona watoto wa ki-Palestina wakifa lakini sipendi pia kuona watoto wa ki-Israeli wakifa. Hamas ndio wachokozi, wamerusha mamia ya rockets kwenda Israel tena wakilenga makazi ya watu wasio na hatia. Sifurahishwi na umwagaji damu au nguvu wanayoitumia IDF kujibu mapigo kwa Gaza but I understand.
 
Hakika umepotoka sana ulipokoma kijifunza zaidi na kujua zaidi,Mungu alifanya agano la umilele na Abraham,no matter what wao bado ni chosen people.ila ukifika mbinguni nisaidie kumuuliza mungu kwa nini uliwapendelea sana uzao wa ibrahimu na uliotokana na Isaka na sio ismail,japo Yesu alikuja kuwainganisha upya.

NOTE-bible imechakachuliwa sana kwa kuwa na machapisho ya version mbalimbali na hivyo kupotosha maana nzima ya lile neno halisi aliloliacha kristo. kumbuka hili linafanywa intentionally. na walio nyuma ya huu mkakati wote ni waizrael.
NOTE-agano la mungu na waizrael lilikuwepo lakini liliambatana na masharti(nashangaa kwa nini watu wanaongelea agano bila kuyaongelea masharti yaliyoambatana na agano!!!!!)na sharti la mungu kwa wana wa izrael ni kutomuasi na kukumbatia miungu wengine. je hilo wana wa israel wamelitekeleza???
NOTE-baada ya kumkataa kristo yesu na bible yake,mungu alimuamuru yesu awaambie wafuasi wake'''WAKAITAWANYE INJILI KWA MATAIFA'' na hapo utakatifu/uteule wa taifa la israel UKAFUTWA RASMI na mungu na kuanzia hapo utakatifu/uteule ukahamia kwa yule ATAKAYEMKIRI YESU KUWA BWANA NA MWOKOZI WAKE bila kujali asili ya taifa lake.
NOTE-yakobo(israel) alikuwa na watoto 12 waliounda mataifa 12 ya wana wa israel. mataifa 11 yametoweshwa kwa makusudi na limebaki taifa moja tu linalobeba taswira ya israel nzima nalo ni taifa la YUDA.. ikumbukwe kuwa NI YUDA ndiye aliyotoa wazo la ndugu yao JOSEPH kuuzwa kwa wafanya biashara wakimisri kwa vipande ishirini vya DHAHABU na NI YUDA ALIYEKUJA KUMSALITI KRIOSTO YESU kwa vipande vya fedha.
NOTE- yuda hutafsiriwa kama usaliti kutokana na historia, lakini leo hii takriban 92% ya waisrael wanaamini katika dini iitwayo JUDAISM(wafuasi wa yuda). mpaka leo hawaamini lolote kuhusu ujio,uwepo,mafundisho,kufa na kufufuka kwa kristo.
NOTE- katika FREEMASONRY PYRAMID, eneo la juu kabisa la pyramid kabla ya jicho moja kuna kipengele kinachowakilisha kundi dogo la watu wenye mamlaka makubwa ya kidunia. HAWA WANAJIITA ''THE LEARNED FATHERS OF ZION'' na kila mwenye akili anajua kuwa ZION ni wapi na ZIONISTS ni akina nani..
NOTE- ISRAEL ya sasa ndio inayoongoza taasisi zote za kishetani na taasisi hizo ndizo haswa zinamuwakilisha MPINGA KRISTO(ANT CHRIST). taasisi kama illuminat, skull/bone pamoja na Freemasons zote zinaongozwa na BLOODLINES ambao wana asili ya ki israel na ni lazima wawe wanatoka katika ukoo wa yuda.
mtazamo wangu wa jumla.. ni muislamu -------- atakayesimama na wapelestina kwa sababu ya uislamu wao na ni mkristo -------- atakayesimama na waisrael kwa sababu ya uyahudi wao. maandiko mnayoyaamini yanahitaji tafakuri kuliko kuendekeza mapenzi na chuki.
ISRAEL ni taifa kandamizi na kinachoendelea gaza ni mlolongo wa jinsi ukoloni ulivyo bado na nguvu katika dunia hii.
kama katika hili huyo mnaomuita mungu atakuwa pamoja na waisrael, basi sina haja na huyo mungu kwani atakuwa ni mungu asiye na akili na kama nikifanikiwa kuonana naye,hakika nitamchapa vibao.
mungu wa kweli, siku zote huchukia uonevu,mungu wa haki huchukia ukandamizaji,mungu wa haki huchukia matumizi ya mabavu,mungu wa haki huchukia mauaji,mungu wa haki huchukia wanafiki,mungu wa haki huwa na huruma kwa viumbe wake,mungu wa haki katu haungi mkono manyanyaso dhidi ya watoto wasio na hatia.
kama nguvu za israel dhidi ya wapalestina zinatokana na nguvu za mungu.... basi huyo mungu atakuwa ni LIGHT BEARER ... MUNGU WA MASHETANI. MUNGU WANGU NI MWEMA SANA
 
Safii sanaaa
 
Back
Top Bottom