stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,998
- 4,256
Mambo huwa hivi[emoji16][emoji16]
😂😂😂😂😂😂😂umetishaMali Zimezagaa Yaani Unapiga Tu 😀😁😂🤣😃😄😅😋
Ilikuwaje mkuuuSitasahau kisa cha vi-pombe flani vinaitwa IMAGE Hahahaha ngoja niishie hapa! Una akili kweli uchanganye IMAGE na Nyagi? Kisha mchana umekula pilau?? Hahahaha maisha haya!
Hakuna mbora hapo Mkuu kwani kuna wanaume huwa na wanafanyiwa vitendo vichafu pia.Bora mwanaume uwe mlevi lakini kwa mwanamke ni shiiidaa, maana tundu litatumika na yoyote bila yeye kupenda
Opinion ni nn?? MzeeEti uniaminishe Plato alisema religeous is the opinion of the poor toka zako
Sawa mkuuOpinion ni nn?? Mzee
Sema opium!!! Sawa??
Huwa hawakomi[emoji16][emoji16][emoji16]Na si ajabu akitoka hapo hamalizi wiki amerudia tena. Daah.
Hakika. Na itakuwa pombe ikiisha kichwani wanasahau kabisa nini kimetokea nyuma.Huwa hawakomi[emoji16][emoji16][emoji16]