kizaizai
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 6,066
- 7,557
Network ilikata, nilichukua Tax mpaka Getto Dereva niligoma kumlipa, asubuhi najipiga sachi simu sina wallet ipo, kwenye saa 4 anakuja msela ananiletea simu na kuniomba gharama ya Tax, Derva alikuwa muungwana sana.Ilikuwajee