Pale unapoandaa kidate na single mother halafu akaja na mwanae

Yeye aliolewa kabisa.....very young ndoa ikadumu mwaka mmoja tu. She is only 24, very loving and caring. Shida tu mume hakuwa na akili

Sukari Yenu

Sema watu huwa wanahukumu sana, unaweza kuwa na mwanaume kumbe kaficha maovu kibao ukiyajua mkaachana kwa tabia mbovu zake watakuambia 'umeshindikana wewe'
 
Baba hii ikikutokea hakuna namna,..maana singo maza chuma cha ukwel kama hakija zaa,..sasa kujitutumua uonekana mwanaume anaejal,lazma ukubal chochote anachotaka mtoto,...nimenunulishwa maputo leo,..mtoto had face painting aisee,ikabid namie ni act kama baba,huez kwepa etii
Hahahaahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema watu huwa wanahukumu sana, unaweza kuwa na mwanaume kumbe kaficha maovu kibao ukiyajua mkaachana kwa tabia mbovu zake watakuambia 'umeshindikana wewe'
No mimi sioni kama yule ana matatizo kabisaaa. I respect her....anatamani nimuowe. Ni mzuri, yule kijana alikosa busara. Ndio maana mimi kwangu bint yangu sitamuoza kwa mtu wa chini ya miaka 25

Sukari Yenu
 
Single Mather ni wepesi sana kama ukiwapatia, Mimi kuna mmoja nilianza nae kwa kumpotezea yeye binafsi na kufocus kwa mwanae, nikawa namnunulia dogo zawadi na kumuulizia muda si muda mama akawa anajileta kwalazima nikawa nimefanikisha mpango kwa njia rahisi sana.
Mimi huy kashaingia line,tatzo routine yake ndo haielewek,..siku ya kula mzigo yeye anafanya picknik,..ndo hapo sasa
 
Nadhani watu wengi hamjamuelewa huyu jamaa! Hana tatizo na mtoto wala huyo dada kuwa single Mother ila yeye alijiandaa kwa kuwa 2 tu siku hiyo dogo akavuruga
Exactly,..wambie hao,..mi sina shida na mtoto,kwanza katoto kazur kwel nataman kangekua kangu,..tatzo ratiba ya papuch iliharibika
 
ila wanaume bhana kumbe hamtoi kwa moyo
Ishu sio kutoa ,material thing,..ni vitu vidogo sana vile kwangu,ishu ratiba ya papuchi ikageuka kua picknik,ndo hapo sasa mi nimejiandaa mwenzangu naona anatoka na gupochi gukubwaaa na mtoto pemben,si unajua wadada wenye watoto wadogo,pochi hilooo lina kila kitu ndan
 
Ila alifanya makusudi siku nyingine utafaidi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo naisubir kwa hamu hyo siku,..ila tokea jana,yaan natumiwa msg nyiing kwel kutoka kwake,..na sim amepiga leo,yaan had saa hii kashapiga mara mbili..ananijulia hali tuu,kwel nmeamin ukitaka ule singo mom wee deal na mwanae,
 
Exactly !! Ila chonde chonde uwe makini kisikatikie halafu umwache, tumia uzazi wa mpango

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishu sio kutoa ,material thing,..ni vitu vidogo sana vile kwangu,ishu ratiba ya papuchi ikageuka kua picknik,ndo hapo sasa mi nimejiandaa mwenzangu naona anatoka na gupochi gukubwaaa na mtoto pemben,si unajua wadada wenye watoto wadogo,pochi hilooo lina kila kitu ndan
msamehe hakujua kwamba unanyege nae sikuhiyo... uwe unamwambia
 
Imeshawahi kunitokea mara mbili, lakini hakikuharibika kitu sana sana hao wanawake walijifunza somo kutokurudia tena. Afadhali wa kwanza alikuja na mtoto mdogo kabisa huyu wa pili alikuja na mtoto wa kiume wa miaka minane.... Kesho yake aliapa kutokunywa pombe na mwanaume jirani na mwanae.

"A voice of one calling in the wildernes"
 
Back
Top Bottom