Jidu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 1,232
- 756
Huko Ufilipino rais Mteule Bw.Rodrigo Duterte,ameanza kumwaga cheche kabla ya Kuapishwa siku ya Alkhamis juma hili,Yeye anaonelea mambo ya haki za binadamu hasa suala la kifo hayana nafasi kwake,kwa watakaofanya makosa ya Ubakaji,ujambazi na madawa ya kulevya kifo kitawahusu.
Huyu Bwana alishawahi kuwa "MEYA" wa jimbo moja huko Ufilipino na alishawahi kutuhumiwa kuwa na kikundi cha siri cha mauaji kwa wale wanatenda makosa kwenye jimbo lake.