Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,075
Kwanza ungefatilia maoni ya watanzania kuhusu hizo nyumba wengi wameumiaNdio upotoshaji tusioutaka huu nyumba ya Kikwete na Marais wengine wastaafu ni kwa mujibu wa katiba ya JMT. Hayo ni mambo ya serikali sio chama cha CCM.