Uchaguzi 2020 Pale Polepole akiwatambia Watanzania kuwa Watendaji wa CCM wanatembelea Land Cruiser V8

''Katibu wa Wilaya ana hardtop na sasa tuna upgrade''

Mmoja wa makatibu wa Wilaya ni yule wa Same, ambako katika mji wa Hedaru, Rais amebaini wanaume na wanawake wanalala wodi moja. Rais ametoa milioni 100 ambazo hazitoshi kununua V8moja

Katibu mkuu wa chama tawala! Viongozi wa Waafrika hawatofuatiani hata kidogo.
Juzi waligawaina nyumba walizojengeana.

Baada ya hapo utasikia, serikali ya Wanyonge, kiongozi wa Wanyonge! yupi ikiwa katibu ana hardtop.

Mag3 JokaKuu tindo
 
Hii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao?

Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ?
Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi hata hawajui LC V8 ni nini.

Huu ubabe na kujimwambafy utafika kikomo.
Polepole ni jinga. Zezeta fulani hohehahe kisiasa. CCM haijawahi kununua maV8 mwaka huu. Hayo maV8 ni mali ya umma na yana registration ya Serikali. Yamepigwa rangi ya kijani na kubandika plate numbers za CCM. Huu ni ujambazi mwingine wa CCM.
 
Hii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao?

Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ?
Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi hata hawajui LC V8 ni nini.

Huu ubabe na kujimwambafy utafika kikomo.
Haka kajamaa kamekuwa ka hovyo kabisa.
 
Halafu hao hao wanakusanya watu kwenye malori kwenda kuongeza vichwa huku wakivuja jasho kuwashangilia akina Polepole walio ndani ya ma V8 yenye viyoyozi. Na bado wakipewa mitano 5 tena wana upgrade kwenda kwenye latest version.
Chama kimejaa watu wajinga sana
 
Huyu Bwana Polepole hata Mimi kanishangaza. Yani ameamua kuwavimbia wapiga kura badala ya kuwaomba Kura. Hizi ni dharau na jeuri ya madaraka.

Anadhani haya ma V8 CCM yameanza kutumika leo? Mbona wakina Nape walikuwa wanayatumia bila kudhihaki Wapigakura wanaoshindia Mizizi (mihogo/viazi) na Matunda?? Kweli hawa jamaa wa Utawala uliofitinika wana kaushamba flan.
Hii ni CCM mpya ya akina Polepole na Bashiru. Hiyo CCM ya zamani ya kina Mangula, Kinana, Mzee Makamba ndo hiyo inaulizwa "unaijua V8 wewe??" Hao pamoja na wavuja jasho wa huko Nanyamba waijulie wapi V8.
 
Ushamba mzigo, yan kasema Muda wote wanakula AC yan yeye kaona AC ndio starehe ya mwisho, yan mtu ukiwa haujaelimika na upo ccm unakuwa bogus sana aisee...MNAENDA KUYAPIGIA KURA MAJITU YANAYOJISIFIA KWAMBA YANA MA V8 alafu ninyi mna vipaso na ist, haya majitu ni yakuyachinja tu
 
Hapa chini niweka video ikimuonyesha mh Polepole .

Anatufahamisha jinsi viongozi wa ccm wanavyo tembelea v8.

Sisi kina kajamba nani tunatembelea mikokoteni tu maana hatuwezi kumiliki v8.
 
Video ya muda hiyo mkuu.
Enzi hizo akiwa boss anatembelea V8 na shule ya uongozi hakuikumbuka.

Saiv upepo umebadilika amejipa kazi ya kufundisha watu shule ya uongozi
 
Tangu wampokonye akili imemruka ameanzisha na darasa la uongozi (kipindi anatembelea v8 hakuwa na habari na hili darasa)
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom