Haaaaaahaaaaaahaaaaa mkuu saudari nisamehe banah nimepitiwa tu si unajua tena afu ukute aliyenipitia ni huyohuyo shetani,dahhh shetani huyu mbaya ila basi.
Ila kiukweli mkuu saudari huyo mdada nalipa aisee cheki hizo chipsi alizozibeba na hiyo miguu ya bia daaaahhhh jamaa angefanikisha mipango angefaidi aiseeee walau kwa macho tuuuu.
Khaaaaaa inaonekana we ulipokuwa mtoto ulikuwa mkorofi sana saudari mi sichezi na wewe ndo nishakugaya hivyo,huniwekei bold nicheze na wewe au unaniwekea nikugaye eehhh sema basi?
Khaaaaaa inaonekana we ulipokuwa mtoto ulikuwa mkorofi sana saudari mi sichezi na wewe ndo nishakugaya hivyo,huniwekei bold nicheze na wewe au unaniwekea nikugaye eehhh sema basi?
saudari njoo tucheze gombania goli sijakugaya tena mama akininunulia pipi nitakupa sawa eehhhhh.haaahaahaa daaaahhhh jamani utoto raha wangekuwa wanarudi na mie nigerudi jamani.
saudarinjoo tucheze gombania goli sijakugaya tena mama akininunulia pipi nitakupa sawa eehhhhh.haaahaahaa daaaahhhh jamani utoto raha wangekuwa wanarudi na mie nigerudi jamani.