Kwa nini watu wanasali?

Kwa nini watu wanasali?

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
6,754
Reaction score
13,909
Kama Mungu tayari ana mipango yake juu ya maisha yako na mipango yake iko sahihi kwa sababu Mungu muweza wa yote hajawahi kukosea, kwa nini sasa unasali? Kwa nini unafanya maombi?

Unajaribu kubadilisha mipango ya Mungu? Shame on you
 
kwanza sala ni kama meditation, sasa kwa nini watu wanafanya meditation? imekuwa proven kisayansi kabisa kwamba meditation inasadia kiafya, hivyo hiyo pia ni moja kati ya sababu za kusali, sala sawa na mediation, ina the same effect and meaning.

unaposali you are in the zone ...
 
Kama Mungu tayari ana mipango yake juu ya maisha yako na mipango yake iko sahihi kwa sababu Mungu muweza wa yote hajawahi kukosea, kwa nini sasa unasali? Kwa nini unafanya maombi?

Unajaribu kubadilisha mipango ya Mungu? Shame on you
Swali fikirishi.

Kusali ni njia ya kuambatana na yale ambayo Mungu amepanga. Unaweza ukapishana na mpango wa Mungu kama utatembea nje ya kusudi lake, hivyo sala inakusaidia kubaki katika njia sahihi.

Unaweza kuuliza . Je Kama Mungu ameshaona kuwa hata ukisali bado huko mbelen utateleza . Je kwanini tunasali?.

Mungu ana mipango yake na ww. Na yeye ndio anajua. Kwahiyo Ni fumbo.

Hivyo ni bora kusali . Na kumuachia Mungu hayo mengine ili mapenz yake yatimizwe hapa duniani na huko mbinguni.
 
kwanza sala ni kama meditation, sasa kwa nini watu wanafanya meditation? imekuwa proven kisayansi kabisa kwamba meditation inasadia kiafya, hivyo hiyo pia ni moja kati ya sababu za kusali, sala sawa na mediation, ina the same effect and meaning ...
Kumbe. Mi nilidhani ni spiritual connection kati ya binadamu na Mungu, ili Mungu awatimizie maombi yao
Kama wanafanya kiafya hapo ni sawa
 
GUYS GUYS GUYS
20260306_225029.jpg
 
ndiyo hiyo maana yake, haya mambo yako deeper klk mnavyoyachukulia ...
Sio kweli kama wanafanya hivyo kiafya. Ulichotaja wewe ni faida yake tu ambao hiyo faida hata sio lengo kuu la watu wanaosali
Kwanza ukiwaambia watu wa dini kuwa wanasali kwa ajili ya some mental health, inasaidia kutuliza ubongo wao wataona unaongea vitu disrespectful
 
Swali fikirishi.

Kusali ni njia ya kuambatana na yale ambayo Mungu amepanga. Unaweza ukapishana na mpango wa Mungu kama utatembea nje ya kusudi lake, hivyo sala inakusaidia kubaki katika njia sahihi.

Unaweza kuuliza . Je Kama Mungu ameshaona kuwa hata ukisali bado huko mbelen utateleza . Je kwanini tunasali?.

Mungu ana mipango yake na ww. Na yeye ndio anajua. Kwahiyo Ni fumbo.

Hivyo ni bora kusali . Na kumuachia Mungu hayo mengine ili mapenz yake yatimizwe hapa duniani na huko mbinguni.
Umeeleza vizuri, hapo nimeelewa
 
Sio kweli kama wanafanya hivyo kiafya. Ulichotaja wewe no faida yake tu ambao hiyo faida hata sio lengo kuu la watu wanaosali
Kwanza ukiwaambia watu wa dini kuwa wanasali kwa ajili ya some mental health, inasaidi kutuliza ubongo wao wataona unaongea vitu disrespectful

dude, binadamu amekuwa akisali kuanzia siku ya kwanza alipo-exist hapa duniani, na amepitia mengi sana yaliyo challenge umuhimu wa sala kama wewe unavyouliza hapa leo hii lkn bado mabilioni ya watu duniani wasali kwa namna moja au nyingine wote siyo wajinga, kama wewe unashindwa kuelewa maana yake haimanishi kwamba haina maana na wote ni wajinga kwamba wameshindwa kujua kitu simple kama hicho ambacho wewe umekiandika leo ...
 
Swali fikirishi.

Kusali ni njia ya kuambatana na yale ambayo Mungu amepanga. Unaweza ukapishana na mpango wa Mungu kama utatembea nje ya kusudi lake, hivyo sala inakusaidia kubaki katika njia sahihi.

Unaweza kuuliza . Je Kama Mungu ameshaona kuwa hata ukisali bado huko mbelen utateleza . Je kwanini tunasali?.

Mungu ana mipango yake na ww. Na yeye ndio anajua. Kwahiyo Ni fumbo.

Hivyo ni bora kusali . Na kumuachia Mungu hayo mengine ili mapenz yake yatimizwe hapa duniani na huko mbinguni.
Usiposali kuna uwezekano ule mpango uliopangiwa na Mungu usitimie?
 
dude, binadamu amekuwa akisali kuanzia siku ya kwanza alipo-exist hapa duniani, na amepitia mengi sana yaliyo challenge umuhimu wa sala kama wewe unavyouliza hapa leo hii lkn bado mabilioni ya watu duniani wasali kwa namna moja au nyingine wote siyo wajinga, kama wewe unashindwa kuelewa maana yake haimanishi kwamba haina maana na wote ni wajinga kwamba wameshindwa kujua kitu simple kama hicho ambacho wewe umekiandika leo ...
Sasa umehamia kwenye hisia zaidi kuliko mada
Na swali langu linalenga zaidi dini huenda sijaliweka vizuri. Hii sababu yako unayotoa ni ya Kisayansi, hata sio ya kidini
Kama umesoma swali langu vizuri, nimemtaja Mungu, nimetaja mipango ya Mungu ndio kisha nikauliza kwa nini wanasali.
Nimeuliza swali hili in relation to haya masuala religious. Kama tukiangalia Sayansi, Sayansi yenyewe haiamini uwepo wa Mungu which means haiwezi kutumika kujibu swali hili. Zaidi itatuelezea tu historia ya binadamu, na faida yake kwenye akili ya binadamu
Lakini haitaelezea kwa nini watu wanasali wakati Mungu ana mipango yake tayari kwa sababu according to Science Mungu hayupo, in the first place, which means haiwezi kuelezea watu wanajaribu ku achieve nini wanapomwomba Mungu ambaye ana mipango yake tayari
So, this still doesn't answer the question man, inaonekana umesoma tu title ya swali ukakimbilia kujibu
 
Kwa nini tunasali?
kusali au kuswali ni kuwa karibu na Mungu, kuwasiliana na Mungu

Yaliyomo ktk sala ni pamoja na kumtukuza, toba, maombi ya mahitaji fulani na shukrani kwake Mungu

umuhimu wa kusali au kuswali?
ni kuwa mbali na maovu, matatizo, uchawi, shetani na wafuasi wake

kumbuka wateule au watakatifu wanaonekana kwa matendo yao, tabia zao na misimamo yao hao wapo mbali na maovu na dhambi
 
Prayer is like a pump in an empty well, it makes lots of noise but brings no water.

Prayer is like masturbation. It feels good to the person doing it, but does nothing for the person they are thinking about.

Prayer is nothing.

Prayer is an illusion.

God does not exist.

Mungu hayupo.

Sala haina mchango wowote wala msaada wowote kwenye maisha ya binadamu yeyote yule.
 
Prayer is like a pump in an empty well it makes lots of noise but brings no water.

Prayer is like masturbation. It feels good to the person doing it, but does nothing for the person they are thinking about.

Prayer is nothing.

Prayer is an illusion.

God does not exist.

Mungu hayupo.

Sala haina mchango wowote wala msaada wowote kwenye maisha ya binadamu yeyote yule.
Hivi huwa unanotice vipi hizi mada unafika on time🤭
 
Kwa nini tunasali?
kusali au kuswali ni kuwa karibu na Mungu, kuwasiliana na Mungu

Yaliyomo ktk sala ni pamoja na kumtukuza, toba, maombi ya mahitaji fulani na shukrani kwake Mungu
Huyo Mungu hajui mahitaji yako hadi umsalie?

Back
Top Bottom