The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 8,922
- 21,413
Guys
Huko ndani kuna moto unawaka hatari akina Rachel.dangwa wakisema mnaqaita wanaharakat.
Shutuma iliyotolewa na mbunge siyo ya kubezwa na ni hatari sana. sisi kama raia tunataka ufafanuzi kwa nini mipango inakwama kisa Nchimbi na nchimbi abaki ofisini?
Ndugu zangu hadi mbunge wa CCM anajitokeza hadharani na kusema hivyo mjue kuna mengi.mazito yanaendelea huko ndani na mtaelewa kwa nini mpango alijiuzuluwa