Pale Kariakoo ukitaka utoboa uuze bidha zipi zenye fast moving items

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
4,330
8,421
Habari wakuu moja kwa moja tuingie kwenye bandiko letu

Kama kichwa Cha habari hapo juu dhumuni la uzi tuweze kubadilishana mawazo wana JF bidhaa zepi zenye fast moving pale k,Koo kwasababu pale kwa sasa ndio center ya biashara east Africa nchi mbalimbali wakikutana pale k,Koo nakufanya manunuzi ya bidha mbalimbali for wholesale.

Wafanya biashara wa mikoani pia hukutana pale k,Koo wakifanya manunuzi yao na kwenda kuuza for wholesale hi kutokana na bidhaa nyingi kuwa cheep najua wanapochukua bidhaa zao nyingi wanakwenda kuchukua China.

Wengine wakiagizia kupitia mtandao wa albaba, Amazon, eBay nk...

Bidhaa zipo nyingi sana kuanzia Hardware,Nguo viatu, mapambo ya wanawake nk..

Je kundi lipi la bidhaa ambazo kwa mgeni pale k,Koo unaweza kuanza nazo..... Mfano ukiingia na mtaji wa million 35

0.jpg
 
Kariakoo kila kitu kinatoka na kila kitu hakitoki.

Ukitaka kuingia mkenge iga biashara za watu.

Kikawaida biashara zina siri, unless unapata mtu anakushika mkono, usiingize hela yako kwa kuona vitu juu juu.

Huo mtaji unaweza kuhifadhi na kusoma soko kwanza kuwa hata machinga, ama kaa dukani kwa mtu.
 
sawa Boss
 
Habari wakuu moja kwa moja tuingie kwenye bandiko letu

Kama kichwa Cha habari hapo juu dhumuni la uzi tuweze kubadilishana mawazo wana JF bidhaa zepi zenye fast moving pale k,Koo kwasababu pale kwa sasa ndio center ya biashara east Africa nchi mbalimbali wakikutana pale k,Koo nakufanya manunuzi ya bidha mbalimbali for wholesale.

Wafanya biashara wa mikoani pia hukutana pale k,Koo wakifanya manunuzi yao na kwenda kuuza for wholesale hi kutokana na bidhaa nyingi kuwa cheep najua wanapochukua bidhaa zao nyingi wanakwenda kuchukua China.

Wengine wakiagizia kupitia mtandao wa albaba, Amazon, eBay nk...

Bidhaa zipo nyingi sana kuanzia Hardware,Nguo viatu, mapambo ya wanawake nk..

Je kundi lipi la bidhaa ambazo kwa mgeni pale k,Koo unaweza kuanza nazo..... Mfano ukiingia na mtaji wa million 35

View attachment 1958604
Hongera kwa kuweza kutafuta kiasi kama hicho wazo lako ni zuri lakin kama ulivyoshauriwa hapo juu kwanza baishara gani ambayo iko moyoni mwako( japo sio lazima sana ) mpate mtu anaefanya hiyo biashara muombe akushike mkono akiwa na roho ya kukusaidia utatoboa lakin asipokuwa nayo utapoteza hela yako ukipata wakukusaidia kaa nae dukan hata miez 3 hiv ukisoma mchezo then kuanzia hapo mambo mengine ya vilemba na kodi utayajua baada ya hiyo miezi 3 hii nimefanya na imefaulu.
 
Kuna bro wangu 5 year's Ago yeye alikua ana-deal na bidhaa za Super Glue Kufuli za nyumba Viwembe Sasa hivi anamiliki zaidi ya maduka 5 ya jumla na alianza na hizi bidhaa tatu to
Alianza kama machinga?
 
Kuna bro wangu 5 year's Ago yeye alikua ana-deal na bidhaa za Super Glue Kufuli za nyumba Viwembe Sasa hivi anamiliki zaidi ya maduka 5 ya jumla na alianza na hizi bidhaa tatu to
Motivation Speakers
 
Back
Top Bottom