Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,367
Nikiwa nakaribia kufanya pepa ya cpa mwezi wa may kwa daraja la intermidiate stage nimeona sio mbaya kushare na wanajukwaa study text ili tuweze kuzisoma kwenye laptop ama simu zetu na pia ziweze kuwa msaada kwa wale ambao bado hawajazipata hasa hasa wale ambao tupo mikoani kama mimi.
tembelea HAPA materialzacpa.blogspot.com ili uweze kujipatia hivi vitabu vya B1, B2, B3,B4 na B5, Nawaombeni sana mwenye kitabu cha B6 ethics, management and governance ama kitabu chochote cha level yoyote anitumie ili nikipandishe tunufaike wengi, Na kwa wale ambao mna Q&A Nawaombeni mni pm ili mnitumie nizi scan na kisha nizipandishe iwe faida ya wote.
Kutokana na kubanwa kwa ratiba nimeshindwa kuupoload baadhi ya vitabu vya fina level na stage nyingine na nawakumbusha tena sina vitabu vyote naombeni ushirikiano wenu mnitumie na kuvipandisha ili tuvipakue wote
Wasiliana nami kwa p.m au email yangu kijanicity15@gmail.com