Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Duh!maisha bora mbaka kwa wanyama,kweli wenzetu wapo mbali!
Hata ukiwaangalia sura zao unakubali bila shaka kwamba wanatunzwa vizuri!
For what?funguka mkuu!Amen......!
Teh teh teh!vitambi ndiyo afya yenyewe mkuu!Paka wa bongo wanavitambi
Teh teh teh!vitambi ndiyo afya yenyewe mkuu!
Teh teh teh !nakubaliana na wewe,lakini kwa afrika ni afya!Kitambi ugonjwa mkuu
Teh teh teh !nakubaliana na wewe,lakini kwa afrika ni afya!
Kwa sababu wanakula vyakula vya wanga kwa wingi!Ndo hivyo nashangaa paka wa Afrika nao wanavitambi unaweza fikiri ni mimba
Kwa sababu wanakula vyakula vya wanga kwa wingi!
Ni kweli mkuu,mabaki yanalipa!:becky::becky: wale wanao patikana kwenye mabar wanafaidi vinono
Ni kweli mkuu,mabaki yanalipa!
Mkuu haifai,mipanya ya bar hakuna inachojua zaidi ya kula na kulala!Panya wa SUA wamepewa mafunzo ya kutosha!hata mipanya ya Bar nayo imenona hivi haifai kule SUA kutegua mabomu?
Mkuu haifai,mipanya ya bar hakuna inachojua zaidi ya kula na kulala!Panya wa SUA wamepewa mafunzo ya kutosha!