Poa, nakuja laaziziHafu ukuje kule
Mbona kuna siku pale mombasa ukonga nilikuwa nakula kitimoto ya kukaanga na ndizi zangu za kukaanga na soda pepsi baridi pembeni nilimpa paka kipande cha kitimoto akakipenda sana tena alikimbia nacho kwenye kona akawa anakula ili asisumbuliwe, wanakula kiti moto!Kama unadhani wale ni paka wanyama unaowafahamu tafakari mara mbili....wengi pale ni binadamu kwenye umbo la mnyama
Wale paka wana vituko mwanzo mwisho ....kitimoto ni haramu kwa paka! Pilipili pia! Chachandu ndo kabisaaa lakini pale wapo ambao ukiwapa makombo kama ukiweka chini hawali kama hayana viungo hawali ..hata ukiwapa kwa masimango hawali wanakuangalia na kijicho pembe...hawa si paka wape ndimu uone mziki wake.....
Mbona kuna siku pale mombasa ukonga nilikuwa nakula kitimoto ya kukaanga na ndizi zangu za kukaanga na soda pepsi baridi pembeni nilimpa paka kipande cha kitimoto akakipenda sana tena alikimbia nacho kwenye kona akawa anakula ili asisumbuliwe, wanakula kiti moto!
Paka asiyekula kitimoto?Apia...!!!
Ndimu unawape wakati paka hawatumii ngumu. Ama hata nyama iliyopikwa kwa kuwekewa ndimu ni haramu kwa paka hawa?hawa si paka wape ndimu uone mziki wake.....
Du ngumu kumeza.Wapo....