PAKA THREAD!!!

DVC

JF-Expert Member
Jan 11, 2019
219
213
Paka wanahitajika hapa dar!!! Na bei yake ni kwanzia 2M!!

Ila swal linakuja hapa wanafanyia nn!!! Kuna jamaa!! kila siku anapewa order na bonus nyingi sana!!! Sasa hawa paka wanapelekwaa wap!!!

Hebu tupate ukwl wa jambo hili!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom