Paka dume ni yupi kati ya hawa?

Paka dume ni yupi kati ya hawa?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
10154319_751367844883223_817083263_n.jpg
 
Dume huyo anaebembelezwa.....

Nimewapenda hao nyau

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Sehemu yoyote penye viumbe wawili wenye jinsia pendwa hizi ukiona kalikokaa kimahaba mahaba ujue ni kajinsia shirikishi, ila jinsia ya ukweli utakuta sura ngumu mwanzo mwisho! Laa kama ukiniambia huyo paka bembeleza ni wa jinsia ya kiume basi ni kwa mujibu wa watu wa marekani! Yes, suala la haki na usawa lina wigo mpana msidhani linaishia tu Uganda huko!
 
Back
Top Bottom