Pajue Iringa kwa kupitia picha

Madam nimelewa hiyo ni kweli kabisa ila kwa Tanzania yetu hakuna mahali pa utulivu wa nafsi kama iringa na mbeya baadhi ya sehemu , unisamehe tu mimi ni mlevi tu😅😅
Naomba niwaunganishe urafiki na kaka MENEMENE TEKERI NA PERESI muwe marafiki wawili wapenda pombe. Yeah Iringa imetulia na ni nzuri, panapo uzima nitarudi kufanya utalii wa ndani. Ulishafika Ruaha National park wewe.
 
Iringa niliipenda hasa kwenye masuala ya chakula, bei ya chakula ni simple ila iliponikera ni kwenye maswala ya mavazi, mavazi bei juu sana, ila yote Kwa yote Kwa miaka mitatu niliyokaa iringa nilienjoy sana
 
Naomba niwaunganishe urafiki na kaka MENEMENE TEKERI NA PERESI muwe marafiki wawili wapenda pombe. Yeah Iringa imetulia na ni nzuri, panapo uzima nitarudi kufanya utalii wa ndani. Ulishafika Ruaha National park wewe.
min -me sio mlevi Mimi na yeye ni wanywaji..hapa na konyagi ndogo 🍋 lemon water mdogo mdogo baada ya Majukumu ya mchana kutwaaa..
 
Naomba niwaunganishe urafiki na kaka MENEMENE TEKERI NA PERESI muwe marafiki wawili wapenda pombe. Yeah Iringa imetulia na ni nzuri, panapo uzima nitarudi kufanya utalii wa ndani. Ulishafika Ruaha National park wewe.
Dada mbona huyu ni rafiki yangu muda tu .
Ni jana hapo nilikuwa najaribu kumuomba taratibu za kuwa mchaga ili hii tabia yangu iendane na kabila maana ,wazaramo walevi tunahesabika labda kwenye chuma ulete na viringe vya umbea na ushakunaku
 
Yeah ,, hizo ni picha za mitaa ya iringa ,, kwa leo niliona kwanza nipost hizi za utambulisho wa mji , sehemu ambazo mtu ukifika iringa basi ni lazima uzione kirahisi afu kadri muda unavyoenda tutakuwa tuna share na picha za mitaani sasa ,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…