Padri na mtoto

Globu

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
8,576
2,071
Mtu mmoja alimuuliza mtoto 'mwanangu unaijua njia ya Posta'? Mtoto akajibu 'Nenda moja kwa moja mpaka njia panda fuata kulia' . Mtu yule akamshukuru mtoto kisha akamwambia' Mimi ni Padri mpya hapa mjini , ukija Kanisani Jumapili nitakuonesha njia ya PEPONI'. Mtoto akacheka sanaaa akamwambia' Njia ya Posta huijui, utaijua njia ya Peponi!!!
 
Back
Top Bottom