Padri na mtoto

Padri na mtoto

Globu

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,322
Reaction score
2,897
Mtu mmoja alimuuliza mtoto 'mwanangu unaijua njia ya Posta'? Mtoto akajibu 'Nenda moja kwa moja mpaka njia panda fuata kulia' . Mtu yule akamshukuru mtoto kisha akamwambia' Mimi ni Padri mpya hapa mjini , ukija Kanisani Jumapili nitakuonesha njia ya PEPONI'. Mtoto akacheka sanaaa akamwambia' Njia ya Posta huijui, utaijua njia ya Peponi!!!
 
na kweli si rahisi aijue ukizingatia ya posta tu imemshinda!
 
Back
Top Bottom