PostGE2025 Padri Kitima: Ninaweza kuuawa hata leo, baada ya taarifa hii

PostGE2025 Padri Kitima: Ninaweza kuuawa hata leo, baada ya taarifa hii

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
nielekeze. mm naona report, thank, quote na reply
Mbele ya avatar/display picture kuna ID name
chini ya ID name kuna status mfano wewe ni JF-expert member

Sasa wewe tap ID name ya fala yoyote itakuja profile yake, utaona follow, ignore, nk.

tap ignore hapo hutaona tena upuuzi wake. shida ni ukitumia JF bila ku log in utaona mashudu yake yote ndo maana imenibidi kila nikifungua JF na log in.

Note: mimi natumia browser sababu sipendi kuweka app ya JF sababu sipendi kutumia VPN.
 
Mzee amegoma kununulika japo walimpelekea spinning machine Dr.nchemba lakini wapi!!
 
"Tulifanya kikao hapa tuliwashauri serikali tarehe 30 mwezi wa nne usiku wake ambapo waliamua kuniua mimi, ndiyo tulipitisha yale maazimio na uzuri yamekabidhiwa serikalini mwezi wa nane tarehe 27. Pamoja na kwamba ilikuwa tuyakabidhi siku iliyofuata wakataka kuniua Mungu bariki nikapona, najua naweza nikauawa leo baada ya taarifa hii."

"Tulisema haya yasipozingatiwa nchi haitakaa salama tunaelekea pabaya. Tuliongea taifa linaelekea pabaya tulishaona, lakini kupuuza viongozi wa dini ni hatari sana kwa sababu viongozi wa dini hawana maslahi binafsi kwenye taarifa zinazohusu uhai wa mtu.

Kwahiyo kusema watu wamenunuliwa si kweli, kuna matatizo yanayoendelea ya msingi ya nchi ambayo hayajashughulikiwa, watu wanatekwa, wanapotezwa, wanauawa."

Padre Charles Kitima, Katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 01, 2025.
Acha wamuue tu naona anataka kuleta machafuko ya kidini huyu.
 
We nae upumzike sasa!!

Yaani upo kama fisi unadanga na kuzurura jf Kila mtaa ili mradi tu kutafuta nyuzi zinazoikosoa serikali ili uandike mashudu.

Au dau lako huko Rumumba ni kubwa siyo kama wenzio wa buku 7?
Ka gallow bird kako huku kwangu nakachakata sasa hivi!
 
Langu ni hilo tu. Fr. kitima chukua tahadhali au to be aßurednof your safety, kimbia nchi.
Flee the country!
 
Badala ya kudeal na matatizo yanayosemwa wanataka kudeal physically na mtu anayesema hayo matatizo
 
Mods huyu mpuuzi anapenda like za jf kila baada ya dakika anafungua nyuzi zenye maudhui yaleyale hebu unganisheni haya mautumbo yake!!
 
Niwatoe hofu kwamba.

Mimi samuya ndiye mchambaji mkuu wa taifa.
 
"Tulifanya kikao hapa tuliwashauri serikali tarehe 30 mwezi wa nne usiku wake ambapo waliamua kuniua mimi, ndiyo tulipitisha yale maazimio na uzuri yamekabidhiwa serikalini mwezi wa nane tarehe 27. Pamoja na kwamba ilikuwa tuyakabidhi siku iliyofuata wakataka kuniua Mungu bariki nikapona, najua naweza nikauawa leo baada ya taarifa hii."

"Tulisema haya yasipozingatiwa nchi haitakaa salama tunaelekea pabaya. Tuliongea taifa linaelekea pabaya tulishaona, lakini kupuuza viongozi wa dini ni hatari sana kwa sababu viongozi wa dini hawana maslahi binafsi kwenye taarifa zinazohusu uhai wa mtu.

Kwahiyo kusema watu wamenunuliwa si kweli, kuna matatizo yanayoendelea ya msingi ya nchi ambayo hayajashughulikiwa, watu wanatekwa, wanapotezwa, wanauawa."

Padre Charles Kitima, Katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 01, 2025.
Mwambie yeye mwenyewe na Rais wa TEC wamenunuliwa na Ford Foundation.
 
Kitachomuua yeye ni nyege zake na tabia zake za kutembea na wake za watu...mwishowe atafirwa sasa
 
Back
Top Bottom