PostGE2025 Padri Kitima: Ninaweza kuuawa hata leo, baada ya taarifa hii

PostGE2025 Padri Kitima: Ninaweza kuuawa hata leo, baada ya taarifa hii

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hapo ilikua ni KAZI NA UHARAMIA.

HAPO HAIKUA KAZI NA UTU.

KAKA, @Min_Me upo wap kaka sikuoni tangu October mwishoni upo WAPIII sio KAWAIDA Yako kabisa sisi ni JF MONGER'S.

KAKA GURUDUMU LA POMBE UMENIACHIA PEKE ANGU KAKA HALA NIPO NAENDA WALAU NIPIGE KONYAGIIII NDOGO MOJA THEN NIENDE ZANGU NYUMBANII KUJUMUIKA NA FAMILIA
 
Serikali hiyo hiyo wakati inafanya vitendo hivyo vya kidhalimu eti inataka maridhiano!! Wakati umefika kwa watanganyika kurudisha nchi yao!! Kama kukinukisha na KINUKE!!!
Unbelievably true!
 
Vijana mnatumika tu kama condom
Tunatumika kama condom tena na si kwamba tunalipwa mabilioni kama asemavyo Mwigulu?

Wakati wananchi wanatekwa na kuuwawa, serikali ya ccm ilikuwa ikitumia vijana hao hao kuwafanyisha kazi ya uchawa tena wengine walikuwa wanakuri kabisa kushiriki katika hayo maovu video zipo ila hakuna hata mmoja aliyekamatwa, serikali ya ccm imekuwa ikiwatumia vijana wasanii wa muziki hadi wasanii hao wanapata viburi na kutuambia sie tunaokosoa utekaji na uuwaji tuache kulalamika tufanye kazi.
 
Muulize kitima
Nakuuliza wewe mwenye kushabikia haya mauwaji ambayo yameuwa hadi waislamu wenzako ila bado unashabikia na kusema wauliyouliwa ni waharifu.

Unaambiwa polisi walikuwa wanauwa watu hovyo na ndio maana wameuwa hadi watu waliyokuwa majumbani kwao ila wewe unasema stray bullet.
 
Ndiyo maana wamesema waliouawa wako mbinguni
Yamesemwa wapi haya unayoandika hapa!
Hivi huoni wazi kabisa kuwa wewe ni wakala wa shetani moja kwa moja?

Kwa shetani kama wewe, hata Tanzania nzima tukiamua wote wawe wa imani unayoifuata wewe, bado ushetani wako utakuwa ni uleule. Hutaridhika na hali yoyote ile.
 
Nakuuliza wewe mwenye kushabikia haya mauwaji ambayo yameuwa hadi waislamu wenzako ila bado unashabikia na kusema wauliyouliwa ni waharifu.

Unaambiwa polisi walikuwa wanauwa watu hovyo na ndio maana wameuwa hadi watu waliyokuwa majumbani kwao ila wewe unasema stray bullet.
Padre siku ya uapisho wa rais alisema waliouawa wako mbinguni,ungemuuliza yeye sheikh majini yuko pepo gani
 
Ukweli utabakia kuwa ukweli tu

KAMWE hazijawahi tokea serikali iliyoshindana na raia wake na ikafanikiwa

Muda si mrefu tegemeeni sheikh mwaipopo na chawa wenzake kuja kuwajibu
 
Nimekwambia muulize yeye majini yuko pepo gani?.. maana uliniuliza mimi hilo swali wakati mimi sikusema wako mbinguni
Siwezi kumuuliza Pandri masuala ya aina ya pepo kwa waislamu, nakuuliza wewe ambaye muislamu na Sheikh majini alikuwa muislamu mwenzako.
 
Siwezi kumuuliza Pandri masuala ya aina ya pepo kwa waislamu, nakuuliza wewe ambaye muislamu na Sheikh majini alikuwa muislamu mwenzako.
Padre ana macho ya kiroho na roho mtakatifu juu,aliona waliokufa wote wako mbinguni, muulize
 
Padre ana macho ya kiroho na roho mtakatifu juu,aliona waliokufa wote wako mbinguni, muulize
Kwa sababu wewe unahalalisha hayo mauwaji ndio maana huwezi kuzungumzia waislamu wenzako waliyouliwa.
 
Walijua nini wanapanga, haishangazi kilichotokea
Ndiyo maana wamesema waliouawa wako mbinguni maana wamepigana vita vya msalaba
mwambie sa100 aseme kwa wazee wa ccm Dar akihutubi, hicho ulichosema, na ushahidi mchongo alete mezani, uchunguzwe
 
mnajihangaisha ku reply shudu la huyo mpuuzi hivi hamjui kama kuna ignore button
mwambie sa100 aseme kwa wazee wa ccm Dar akihutubi, hicho ulichosema, na ushahidi mchongo alete mezani, uchunguzwe
Kwa sababu wewe unahalalisha hayo mauwaji ndio maana huwezi kuzungumzia waislamu wenzako waliyouliwa.
Siwezi kumuuliza Pandri masuala ya aina ya pepo kwa waislamu, nakuuliza wewe ambaye muislamu na Sheikh majini alikuwa muislamu mwenzako.
Yamesemwa wapi haya unayoandika hapa!
Hivi huoni wazi kabisa kuwa wewe ni wakala wa shetani moja kwa moja?

Kwa shetani kama wewe, hata Tanzania nzima tukiamua wote wawe wa imani unayoifuata wewe, bado ushetani wako utakuwa ni uleule. Hutaridhika na hali yoyote ile.
Fala huyo na wenzie amesababisha kila nikiingia JF ni log in ili nisione shudu zao watu wote nilio ignore.
 
Yani bado wanskubali kutekwa, mi ningekuwa na mtandao walionao katoliki mbuzi wa ccm na polisi asingenisogelea.

Mkitafuta huruma kwa ccm na polisi wao, watakuuweni kweli.

Hawa ccm na polusi wakianza kutekwa na luuwawa wao, watakuja tu kwenye meza ya mazungumzo.

Naona mmeshapigwa shavu la kushoto mnawageuzia na la kulia sasa.
 
mnajihangaisha ku reply shudu la huyo mpuuzi hivi hamjui kama kuna ignore button

Fala huyo na wenzie amesababisha kila nikiingia JF ni log in ili nisione shudu zao watu wote nilio ignore.
nielekeze. mm naona report, thank, quote na reply
 
mnajihangaisha ku reply shudu la huyo mpuuzi hivi hamjui kama kuna ignore button

Fala huyo na wenzie amesababisha kila nikiingia JF ni log in ili nisione shudu zao watu wote nilio ignore.
Siamini katika kuwapa 'free rde' wapumbavu kama hawa! Ni muhimu kuwakabili kwa njia hiyo hiyo ya kiwenda wazimu wanayokuja nayo wenyewe.
 
Back
Top Bottom