Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,913
Sheikh majini yupo pepo daraja la ngapi?Walijua nini wanapanga, haishangazi kilichotokea
Ndiyo maana wamesema waliouawa wako mbinguni maana wamepigana vita vya msalaba
Sheikh majini yupo pepo daraja la ngapi?Walijua nini wanapanga, haishangazi kilichotokea
Ndiyo maana wamesema waliouawa wako mbinguni maana wamepigana vita vya msalaba
By products,by laws,stray bulletsSheikh majini yupo pepo daraja la ngapi?
Yani kupigania serikali ya ccm unalipwa buku 7 wakati ukipigania haki katika nchi yako mwenyewe unalipwa mabilioni.We nae upumzike sasa!!
Yaani upo kama fisi unadanga na kuzurura jf Kila mtaa ili mradi tu kutafuta nyuzi zinazoikosoa serikali ili uandike mashudu.
Au dau lako huko Rumumba ni kubwa siyo kama wenzio wa buku 7?
Kama unadeal na kilimo na unafanya large scale na imeajiri watu basi uwezekano wa wewe kuwa mwizi wa pembejeo za kilimo no mkubwa sana. Wewe ni mwizi wa mbolea za ruzuku na pembejeo kwa ujumla.Kijana,mimi mkulima,sina dhiki,nimeajiri watu watatu na Wana familia
Mimi nipo kwa maslahi ya nchi
Vijana wanatumika na wapuuzi kwa agenda zao chafu
NJia unayotumia kupata rizk ngumu sana dadaKijana,mimi mkulima,sina dhiki,nimeajiri watu watatu na Wana familia
Mimi nipo kwa maslahi ya nchi
Vijana wanatumika na wapuuzi kwa agenda zao chafu
Shukrani,ntajitahidi kuwatafuta Ford foundationNJia unayotumia kupata rizk ngumu sana dada
Kuchoma miundombinu na mali za watu ni wema?Kama unadeal na kilimo na unafanya large scale na imeajiri watu basi uwezekano wa wewe kuwa mwizi wa pembejeo za kilimo no mkubwa sana. Wewe ni mwizi wa mbolea za ruzuku na pembejeo kwa ujumla.
Unajua katika hali ya kawaida kwa yanayoendelea Tanzania hakuna mtu timamu akaside na waovu wa sisiem. Ukiona mtu amechagua upande wa watesi wetu basi uwezekano wa kuwa anakula kwa urefu wa kamba yake ni mkubwa sana.
Unachofanya wewe siyo kwamba unanipenda serikali,ila sababu ni kwamba unatetea tumbo. Ndiyo maana unafanya Kila liwezekanalo serikali ibaki ili uendelee kuiba.
Shenzi kabisa wewe na wenzie wenzio.
Uko mbali...Shukrani,ntajitahidi kuwatafuta Ford foundation
Angalia hii afu unitofautishie kati ya Idd Amin na naniliuWalijua nini wanapanga, haishangazi kilichotokea
Ndiyo maana wamesema waliouawa wako mbinguni maana wamepigana vita vya msalaba
Ila braza una bidii sana, yaani JFs yoote uko peke yako na unapambana kweli kweli. 😂😂😂Shukrani,ntajitahidi kuwatafuta Ford foundation
Duniani kote mambo ya utekaji yapo Ili Dola itawale otherwise huwezi kuongoza nchi...padri awe specific wanataka nini? wao ndio wamepanga haya na vijana wao wengi ndo wamekufa..Walijua nini wanapanga, haishangazi kilichotokea
Ndiyo maana wamesema waliouawa wako mbinguni maana wamepigana vita vya msalaba
Swali langu sheikh majini yupo pepo ya daraja la ngapi?By products,by laws,stray bullets
Tupo wengi tuuIla braza una bidii sana, yaani JFs yoote uko peke yako na unapambana kweli kweli. 😂😂😂
Sijui wana akili za namna gani hawa watu!Mbaya zaidi, Serikali bado inaendelea kuteka na kupoteza watu kama kawaida!
Sikio la kufa halisikii dawa!Sijui wana akili za namna gani hawa watu!
Serikali hiyo hiyo wakati inafanya vitendo hivyo vya kidhalimu eti inataka maridhiano!! Wakati umefika kwa watanganyika kurudisha nchi yao!! Kama kukinukisha na KINUKE!!!Mbaya zaidi, Serikali bado inaendelea kuteka na kupoteza watu kama kawaida!
Muulize kitimaSwali langu sheikh majini yupo pepo ya daraja la ngapi?
Hayo ya stray bullet kwani hao wauwaji target yao walikiwa akina nani? Wakristo, waharibifu na wezi wa mali au yeyote tu aliyeandamana?