MTWA
JF-Expert Member
- Aug 5, 2009
- 1,166
- 168
kwani nani kasema aliyeua ni muislamu? na hata kama ni muislamu unajuaje kama ameua kutokana na visa vya kidini? mimi binafsi sitaki kuamini hivyo labda kama vyombo vya usalama vitupe ukweli lakini sio vyema kuhukumu moja kwa moja kuwa walioua ni waislamu ndugu zanguni.
Umesema kweli lakini inauma sana kwa watumishi wa Mungu kuuawa namna hii katika nchi inayodaiwa kuwa na amani!
Kimsingi kuna amani lakini Uongozi inabidi uwepo, kwa sasa hatuna kabisa!