Padre Kitima aitumia TEC vibaya

Sawa mkuu, ila la Dr Slaa kuwa mstaafu umeniacha kidogo. Alistaafu mwaka gani na mapadri wana staafu wakiwa na umri gani?
Dr Slaa aliacha uPadre kati ya mwaka 1991- 93, na mwaka 1995 akashiriki uchaguzi kugombea jimbo la Karatu
 
Kuna mtu aliongelea kukata watu vichwa Wala sijakusikia ukikemea.
Je yule anautumia uislamu vizuri?
 
TEC sio BAKWATA wewe
 
Umeongea point kubwa na wengi hawataki kusikia huu ukweli na wanapindisha hii kweli kwa sababu zao wanazo jua wao
 
Hivi nyie chawa mna funza vichwani? Mtu kuongea ukweli imekua nongwa! Angemsifia raisi ungekuja na thread kama hii?
Kwa hiyo ushauri wake kwao nao wapotee, kwa maana hiyo anataka wafanye fujo, mtu alitahadharishwa kutokutoka nje ifikapo saa kumi na mbili jioni. Magaidi wao hatuwazungumzii kabisa, ila waliokufa kwa bahati mbaya, lakini wachoma nchi kifo ni halali yao. Sasa huyu Kitima kama anataka wachome nchi tena KAZI ianzie kwake na naomba polisi wasihusike kwake kukiwaka aangaliwe akiteketea Ili ajue uchungu wa kuchomewa makazi na mali
 
Na wewe kemea upande ambao haujakemewa na TEC

Itoshe kusema, nyinyi ccm ni mashetani
 
Nyie mmeishiwa, watu wameuliwa, mnaleta mzaa, Kitima yupo sahihi kabisa
Aliyechochea yale machafuko ni huyu Padre Kitima. Ni mjinga sana kwa kuwa kasababisha watu wamekufa halafu sasa ndo mlalamikaji wa kwanza.
 
Kama kila anae sema ukweli anaitumia nafasi yake vibaya hivi mnataka nani aseme ukweli?
Huyu ni mnafiki tu. Nipe kauli yake au ya TEC dhidi ya mauaji ya Mwembechai mwaka 1998 au mauaji ya Pemba mwaka 2000 baada ya uchaguzi
 
Fikiria ingekuwa vipi bila nguvu ya Polisi kuzuia yale magenge yabuchomaji moto mali za umma na kuiba mali binafsi ??
 
Kweli maandamano ni haki ya kikatiba, lakini kwanini uamdamane siku ya uchaguzi Mkuu?? Na kwa nini ufanye uharibifu wa mali za Serikali??
 
Mtu anayechoma sheli hana thamani na hana haki ya kuishi.

Hizi sheli ziko karibu na makazi ya watu, imagine ikilipuka itaathiri maisha ya watu wangapi??
Kumbe umebeba boga shingoni. Hakuna sheria inayosema mhalifu apigwe risasi ya kichwa
 
Ni wakati sasa wakubadili..

Amani yangu nawaachieni Amani yangu nawapa - Haki yangu nawaachia Haki yangu nawapa.

Amani ya Bwana iwe daima nanyi - Haki ya bwana iwe daima nanyi.

Tutakiane Amani - Tutakiane Haki

Nendeni na Amani - Nendeni na Haki.
 
uwezo wa kuchambua hoja unautoa wapi na akili yako ya madrasa!?
Nimesema huko nyuma mimi ni staunch RC believer na ninasali Msewe parish na ninatoa zaka. Kielimu nina Masters Degree
 
Nilimaanisha Mzee/Mtu mzima na sio kiongozi wa msikiti...Kwa wasio fahamu Sheikh ni neno la kiaarabu lenye maana ya Mzee

sheikh
/ʃeɪk,ʃiːk/
noun
1.
an Arab leader, in particular the chief or head of an Arab tribe, family, or village.
"the sheikh is among the most influential figures in the Middle East"
2.
a leader in a Muslim community or organization
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…