Padre Kitima aitumia TEC vibaya

Padre Kitima aitumia TEC vibaya

Mmepora uchaguzi, mkajisikima madarakani kwa nguvu,mmeua watanzania elfu 23 plus,mmewafukia kama kuku waliokufa na kideli,na isitoshe mmewanyima watu wasizike miili ya wapendwa wao,wewe chawa wa samuya na genye lenu hivi nyinyi na sokwe mnapishana nini??
Hiyo 23,000 ya Watanzania waliouliwa umeipataje?
 
We mpuuzi aliyesema atakinukisha hakutendewa haki hata hivyo kipindi kinanuka yeye alikuwa gerezani ! angewezaje kushawishi vijana wakinukishe hali ya kuwa yupoo ndani !!? Kama yeye ana ushawishi wa kiasi hicho serikari yako imekosa vipi huo ushawishi?

PATHETIC
Kwa hiyo unaaamini hakuna uhusiano kati ya maneno yake ya kukinukisha ya mwezi April na kilichotokea 29/10?

Basi akili yako ni nyembamba, siyo ya mambo haya
 
We hukusoma waraka waliokuwa wanatoa...mwenyew kakir kuwa mwez march walishaur serkali kuhusu mienendo ya utekaj
J ila wakaweka pamba maskion..sasa leo unakuja hapa kurusha tako moja wkt unajua kabisa serikal dhalimu ilikataa kupokea ushaur
Wako one sided. Kama kanisa walipaswa vilevile kuwatuliza wanaotaka kuleta vurugu.

Ya Rwanda genocide ya 1994 walianza hivihivi kwa Kanisa Katoliki kuwa upande mmoja wa Wahutu
 
Matakwa ya chadema ya NRNE yako wazi kabisa ..mwenyew unajua muundo wa tume ulivyo batili...hapa sina la kuongeza maana mwenyew ukikaa na kujitafakar unaona kabisa hamna tume pale
Suluhisho halikuwa kuchoma miundombinu na kuibabmali za watu binafsi, bali mjadala mezani
 
Vipi yule aliyesema atakata watu vichwa mlimshughulikia?

Yule kijana wa Mwanza aliyesema mkiona mtu amepotea Polisi wasihangaike kumtafuta naye mlimshughulikia?
Ashughulikiwe tu inavyostahili
 
View attachment 3510268
Kuhusu maandamano maalum, hakuna tamko la TEC au Kitima la kuwonya vijana kutofanya maandamano yaliyokatazwa ya Oktoba 29, 2025. Badala yake, baada ya vifo, Kitima alisema "vijana wanataka mabadiliko," na kuwataka wajibu.

Pia, kuhusu maandamano yanayopangwa Desemba 9, 2025, hakuna onyo lolote kutoka TEC. Hii inapingana na historia ya kanisa la kutoa maonyo ya amani, kama ilivyofanya 2018. Je, hii ni kutokuwa na uwezo au ni msimamo wa kutoingilia maandamano ya "haki"?


Jana, Desemba 1, 2025, Padre Kitima alitoa tamko la kutoa maoni lenye nguvu, akiitaka serikali itaje na kuwahukumu wale walioua watu wakati wa maandamano ya Oktoba 29, 2025. Katika mahojiano na vyombo vya habari, Kitima alidai kuwa "mamia ya watu wamekufa" na alilaani "mauaji ya halaiki" na "kupotea kwa watu" kwa mkono wa serikali, akiongeza kuwa serikali haijatoa idadi rasmi au kulaani mauaji hayo. Hii ni sauti ya haki za binadamu, lakini inazua maswali makali:

Hakuna rekodi ya tamko lake la kutoa maoni kuhusu upande mwingine wa sarafu—kuchoma miundombinu ya serikali kama vituo vya polisi, mahakama, vituo na mabasi ya mwendokasi, na kuiba au kuharibu mali za watu binafsi wakati wa ghasia hizo.

Uchambuzi wa ripoti za Human Rights Watch na Al Jazeera unaonyesha kuwa maandamano hayo yalikuwa na "vifaa vya vurugu" na "vurugu dhidi ya mali za serikali," lakini Kitima, katika matamko yake, amekuwa akilenga tu upande wa serikali, bila kushuku au kutoa maoni kuhusu wale wanaosababisha uharibifu. Hii inaweza kuonekana kama dalili ya upande wake—hasa ukaribu wake na CHADEMA—ambapo mauaji ya polisi yanalaaniwa, lakini vurugu za waandamanaji zinadogoshwa au kupuuzwa.

Je, hii ni kutokuwa na usawa, au ni mkakati wa kutoa sauti kwa wasio na sauti bila kutoa haki kwa wote? Historia ya tamko lake la awali, kama la 2024 kuhusu kukamatwa kwa Lissu, inaonyesha mwelekeo huu, na hivyo kuimarisha wazo la kuwa TEC inatumika kupitisha hoja za Kitima za kisiasa badala ya umoja wa kanisa.

Hitimisho:
Padre Kitima ni mtu jasiri na mwenye elimu, na umaarufu wake unaweza kuwa ni baraka kwa kanisa. Lakini matumizi yake ya TEC kama jukwaa la maoni binafsi—kuanzia ukaribifu na CHADEMA hadi kukosekana kwa maonyo katika maandamano na upande usio na usawa katika vurugu za Oktoba 29—inaonyesha hitaji la muundo thabiti zaidi.

TEC si ofisi ya mtu mmoja; ni chombo cha umoja. Kama inavyosema tafakari yao ya Novemba, "haki inahitaji kujadili ukweli." Je, sasa ni wakati wa maaskofu kujadili ukweli wa ndani yao wenyewe? Tanzania inahitaji sauti ya kanisa, lakini si sauti moja tu.

Ikiwa TEC itaendelea hivyo, inaweza kupoteza uaminifu wake, na historia itamkumbuka Kitima kama mpinzani mkubwa... au kama mpinzani wa kanisa lake lenyewe.
Uhai ni muhimu kuliko mali, Sheli moja ina thamani ya uhai wa watu wangapi?
 
Akiikosoa serikali n kutumia TEC vibaya, ila angesifia ungesema anatumia TEC vzr

Pumbavu ww
 
Sawa,kumfahamu na kujua hoja yake ya sasa ni vitu tafauti.
Kitima hana hoja bali ana upande aliochagua. Ni vyema akavua kanzu na kola akatoka kwenye altere na kuja mtaani na kisha kuvaa magwanda ya khaki kama alivyo binamu yake Tundu Lissu au Padre mstaafu Dr Slaa
 
Uhai ni muhimu kuliko mali, Sheli moja ina thamani ya uhai wa watu wangapi?
Mtu anayechoma sheli hana thamani na hana haki ya kuishi.

Hizi sheli ziko karibu na makazi ya watu, imagine ikilipuka itaathiri maisha ya watu wangapi??
 
Akiikosoa serikali n kutumia TEC vibaya, ila angesifia ungesema anatumia TEC vzr

Pumbavu ww
Hata wewe ni pumbavu. Sikusema aside Serikali bali kama Kanisa wasiwe na upande. Waashauri vijana kutofanya vurugu
 
Wako one sided. Kama kanisa walipaswa vilevile kuwatuliza wanaotaka kuleta vurugu.

Ya Rwanda genocide ya 1994 walianza hivihivi kwa Kanisa Katoliki kuwa upande mmoja wa Wahutu
Mmeuwa watu elfu 23 plus,mmepora uchaguzi,mmejisimika madarakani kwa bunduki,mmejiapisha uchocholoni,mnakaa kwenye mashimo kama panya,mmefukia miili ya watu kama kuku waliokufa na kideli,mmeichoma miili ya wapenda haki hadi imekua majivu,mmenyima watu kuzika miili ya wapenda wao
Unataka one sided ipi??,zaidi mmejiundia tume ya kujichunguza nyinyi,hiki ni kituko cha karne,je nyinyi na wanyama kama sokwe mnatofauti gani???
 
*Kura
1995-2005 walihesabu vipi?.. hapakua na internet na matumizi yake kama leo
Nijibu kwa logic mlizihesabu vipi ikiwa internet mlishutdown na umeme mlikata??,na isitoshe kama kweli mnapendwa na raia million 32,mnaaja gani ya kujiapisha kichocholoni???,pia kama mnapendwa na raia million 32 kuna haja gani kujificha shimoni??
 
Uchambuzi wa matamko yake unaonyesha kuwa yeye ndiye anayetambulika zaidi kuliko hata Rais wa TEC, Askofu Wolfgang Pisa wa Jimbo la Lindi, au maaskofu wengine kama Askofu Eusebius Nzigilwa wa Mpanda. Vyombo vya habari kama BBC, Vatican News viliripoti kuhusu "padri mpinzani wa serikali" kama Kitima, wakati maaskofu wengine walibaki nyuma ya pazia la kanisa.
Umaarufu huu unaweza kuonekana kama ushindi, lakini una masuala. TEC ni baraza la maaskofu, si ofisi ya mtu mmoja. Kitima, kama katibu tu, anapaswa kuwa msaidizi wa maamuzi ya pamoja. Lakini matamko yake ya mara kwa mara—kama ile ya Novemba 15, 2025, kuhusu matokeo ya uchaguzi mkuu—yamekuwa na sauti ya kibinafsi, na hivyo kufifia umoja wa baraza.
Unajieleza sana mkuu 😃 😀
 
Nijibu kwa logic mlizihesabu vipi ikiwa internet mlishutdown na umeme mlikata??,
Mawakala huhesabu kura vituoni,kisha husaini wakiridhia,na matokeo hutumwa wilayani,huko hujumlishwa na kutumwa INEC,ni watu ndiyo huhesabu siyo vifaa vya kutumia umeme,watu huhitaji mwanga,kuna vifaa vya kuhifadhi nishati na kutoa mwanga
Tanzania siyo dar tu au mahali ulipo,nilipokuwepo umeme haukukatika
na isitoshe kama kweli mnapendwa na raia million 32,mnaaja gani ya kujiapisha kichocholoni???
Kiapo cha rais huamnatana na shughuli za kijeshi,alipoapa siyo kichochoroni,ni eneo kubwa la wazi na sote tuliona,viwanja vya nishani uwanja wa uhuru upo kwenye matengenezo
,pia kama mnapendwa na raia million 32 kuna haja gani kujificha shimoni??
Shimo gani alilojificha,ikulu chamwino?.. ulitaka akae wapi?..huoni kwamba hiyo ni dalili serikali ilijua juu ya mipango yenu ya uharibifu na mapinduzi mapema ndiyo maana rais akahamia Dodoma?
 
Back
Top Bottom