Padre Kitima aitumia TEC vibaya

Kitima hana hoja bali ana upande aliochagua. Ni vyema akavua kanzu na kola akatoka kwenye altere na kuja mtaani na kisha kuvaa magwanda ya khaki kama alivyo binamu yake Tundu Lissu au Padre mstaafu Dr Slaa
Sawa mkuu, ila la Dr Slaa kuwa mstaafu umeniacha kidogo. Alistaafu mwaka gani na mapadri wana staafu wakiwa na umri gani?
 
Hivi nyie chawa mna funza vichwani? Mtu kuongea ukweli imekua nongwa! Angemsifia raisi ungekuja na thread kama hii?
 
Mwambie afanye ziara kama zamani
 
Nyie mmeishiwa, watu wameuliwa, mnaleta mzaa, Kitima yupo sahihi kabisa
 
Kama hivi ndiyo, then wote ni wakosaji? serekali ya CCM imetumia vibaya taasisi zake kuumiza raia. Matumizi ya polisi kuua raia, matumizi ya polisi kuzuia majeruhi kutibiwa ili wafe, matumizi mabaya ya rasilimali kwa kufadhili utekaji na mauaji ya raia......
 
Sio kosa lako. Maandamano ni haki ya kikatiba.
 
Unajua wewe jamaa ni msenge sana. Yaani watu wamekufa kwa kudai haki ya kuishi halafu unasema tugange yajayo. Mie nashauri wajinga kama ninyi msipewe platform hapa JF. Nendeni kwenye magroup yenu ya ccm
 
TEC, Padre Dr. Kitima, Gen Z, CHADEMA, na wapenda haki wengine wa ndani na nke ya nchi! Ninawaomba msimame hapo hapo. Watawala wanatakiwa waachane na dhuluma dhidi ya wananchi.
Indirect kama una sema ngoma hii ya kutaka mabadiliko inachezwa na imani ya upande mmoja siyo?

Wavaa kobazi jiandaeni kumalizwa na kiuchumi tena mlinyimwa nafasi za Ajira serikalini kwa kigezo cha hamna elimu na sasa hizo biashara zenu za mafuta na usafirishaji hawa lazima wawabane na huko hata msipate kustawi maana hii movement ukitoa maneno mawili ya sijui haki lkn ni mambo ya maslahi ya ki Imani pia yapo na ndo hasa msukumo halisi wa haya mambo lkn mengine ni maigizo tu
 
Hiyo ya 23,000 waliokufa umeipataje? Mbona sijaona misiba ya idadi hiyo mitaani kwangu Ubungo Msewe
 
uwezo wa kuchambua hoja unautoa wapi na akili yako ya madrasa!?
Msiwe mnaua mijadala kwa kauli hii imekua nyepesi na ina chosha kwa sasa, unatakiwa kujibu hoja sio kutumia neno la kutweza ili litengeneze uduni, jibu hoja
 
Unajieleza sana mkuu 😃 😀
Ukweli ni kwamba viongozi na wananchi mbalimbali walikemea vikali maandamano hayo, hadi siku ya uchaguzi wananchi wanaenda kupiga kura huku wanajitokeza wale vibaka kuja kuharibu miundombinu na mali za watu binafsi. Je hawa maaskofu wangekua wao ndio askari wangezuiaje ule uharibifu usiendelee bila kutumia risasi? Hata askari nao ni binadamu kama binadamu wengine hivyo kwa vurugu zile bila kupiga ili waokoe mali za watu zilizokua zinateketezwa miundombinu ya umma, na uhai wao pia Maana hata askari walikuwa wanashambuliwa na waandamanaji,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…